Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA ya lalamikia jeshi la Polis kutumia nguvu nyingi.

Jeshi la polisi mkoani Mwanza mapema leo limelazimika kutumia mabomu ya kuwatawanya waandamanaji waliotaka kwenda uwanja wa ndege kwa ajili ya kumpokea Waziri mkuu mstaafu na mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Umoja wa katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowasa.

Waziri mkuu mstaafu Lowasa amewasili jijini Mwanza mchana jana kwa ajili ya kujitambulisha rasmi kama mgombea urais kwa tiketi ya umoja huo.

Ulinzi uliimarishwa lakini saa chache baadae baadhi ya wakazi na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

HATUTAKI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUWANADI WAGOMBEA NAFASI YA UBUNGE NA UDIWANI-CCM LUDEWA

Chama cha mapinduzi wilayani Ludewa Mkoani Njombe kimesema hakitaki kutumia nguvu nyingi kuwanadi wagombea  wa nafasi ya Ubunge na udiwani, hivyo wagombea hao wanapaswa kuhakikisha wanakubalika katika jamii.

Hayo aliyasema katibu wa chama hicho wilaya Bakari Mfaume katika mkutano wa kamati kuu ya chama hicho uliolenga kujadili utaratibu na mchakato mzima wa uchukuaji fomu za kugombea nafasi hizo.

Alisema kuwa kwa sasa hawataki kukata viuno majukwaani na kuongea sana ili kumfanya akubalike...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ni busara kutumia fedha nyingi kwa sikukuu?

Watu wengi huwa hawajapangia matumizi ya wakati wa sikukuu tangu mwanzo wa mwaka na mwishowe hutumia fedha nyingi wakati wa sherehe.

 

9 years ago

BBCSwahili

Avunja rekodi ya kutumia taa nyingi katika mti wa Krisimasi

Mwanamume mmoja kutoka Australia amevunja rekodi ya kutumia mataa mengi zaidi kwenye mti bandia wa Krismasi.

 

10 years ago

Mtanzania

Jeshi la Polisi linavyotumia nguvu nchini

340677346Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KWA miaka kadhaa sasa yamekuwapo malalamiko kuhusu matumizi ya nguvu ya Jeshi la Polisi dhidi ya raia wakiwamo waandishi wa habari na viongozi wa upinzani nchini.
Matukio hayo ni kama lile la kutisha ambako mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi aliuawa Septemba 2, mwaka 2012 kwa bomu lililorushwa na polisi mkoani Iringa.
Mwangosi aliuawa kwa bomu la kutoa machozi lililorushwa na polisi waliotaka kulizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufungua tawi...

 

10 years ago

GPL

WANAHARAKATI WA BURUNDI WAWATAKA MARAIS WA EAC KUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUMNG’OA NKURUNZIZA

Wanaharakati hao wakiwa katika mkutano na wanahabari (hawapo pichani). Mwenyekiti wa Taasisi ya Burundi Women and Girls Movement, Prof Christine Mbonyingingo (kati) akizungumza na wanahabari.  Rais wa Taasisi ya Fight For Ongoing Torture, Niyongere Armel akisisitiza…

 

10 years ago

Mwananchi

CCM na hofu ya nguvu ya Ukawa

Wataalamu wa saikolojia wanasema kuwa hakuna mtu asiyekuwa na hofu maishani. Hata Yesu alishikwa hofu pale msalabani, sembuse wanadamu?

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yaonya dhidi ya kutumia jeshi

Kikao cha dharura cha umoja wa mataifa chajadili kudorora kwa usalama Ukraine

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAAHIDI KUONGEZA ULINZI TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA


Jeshi la Polisi nchini limeingia Makubaliano ya kutoa Ulinzi na Tume ya Nguvu za Atomik Tanzania, kutokana na eneo hilo kuwa ni muhimu kwa nchi,pamoja na usalama wa nchi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa eneo hilo halitumiwi na wahalifu.

Akizungumza wakati wa zoezi hilo Kamishna wa Operesheni Liberatus Sabas alisema kuwa eneo hilo ni muhimu sana kwa usalama wa nchi hivyo, linahitaji kuwa salama na ulinzi mathubutu ili kuzuia wahalifu kutotumia eneo hilo.

Sabas alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani