CCM na hofu ya nguvu ya Ukawa
Wataalamu wa saikolojia wanasema kuwa hakuna mtu asiyekuwa na hofu maishani. Hata Yesu alishikwa hofu pale msalabani, sembuse wanadamu?
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Hofu ya CCM kwa UKAWA ni nini?
WAHENGA hawakukosea waliposema “Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.” Ni nasaha inayotukumbusha umuhimu wa kushirikiana na binadamu wenzetu maishani katika mambo tufanyayo. Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni muungano...
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Mambo matatu yanayoipa CCM nguvu dhidi ya UKAWA
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Hofu Ukawa kuvunjika yatanda
MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), James Mbatia, amewataka viongozi na wanachama wa umoja huo kuheshimu makubaliano yaliyomo kwenye mwongozo waliotiliana saini mwaka jana.
Mbatia alitoa angalizo hilo baada ya kuwepo kwa viashiria kwa baadhi ya vyama ndani ya umoja huo kwenda kinyume na walichokubaliana hasa kuachiana majimbo kwa wagombea wabunge na udiwani.
Wiki hii kumekuwapo taarifa katika baadhi ya majimbo kwamba kuna vyama ndani ya Ukawa vimeweka wagombea...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Ipo hofu ya Ukawa kupoteza majimbo
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Ukawa na dhana ya nguvu ya mnyonge au ‘zamu yetu kula’
9 years ago
StarTV17 Aug
UKAWA ya lalamikia jeshi la Polis kutumia nguvu nyingi.
Jeshi la polisi mkoani Mwanza mapema leo limelazimika kutumia mabomu ya kuwatawanya waandamanaji waliotaka kwenda uwanja wa ndege kwa ajili ya kumpokea Waziri mkuu mstaafu na mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Umoja wa katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowasa.
Waziri mkuu mstaafu Lowasa amewasili jijini Mwanza mchana jana kwa ajili ya kujitambulisha rasmi kama mgombea urais kwa tiketi ya umoja huo.
Ulinzi uliimarishwa lakini saa chache baadae baadhi ya wakazi na...
10 years ago
Mwananchi06 Jul
KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa yategemea nguvu ya CUF, NCCR majimbo yote ya Urambo, Sikonge
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Miaka 37 ya CCM na hofu ya kuwajibishana
FEBRUARI 5, 2014 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaadhimisha sherehe za miaka 37 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1977, baada ya muungano wa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) na Afro...
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
CHADEMA yatia hofu CCM
SERIKALI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imegeukia kutekeleza sera kutoka katika Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), licha ya awali kudai sera hizo ni ndoto za...