Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa na dhana ya nguvu ya mnyonge au ‘zamu yetu kula’

Kwa jumla, kuungana ni jambo jema kwani muungano huongeza nguvu. Muungano ni silaha ya mnyonge dhidi ya mwenye nguvu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NI ZAMU YETU KUWAHOJI WAGOMBEA

Mwenyekiti wa tume ya katiba, Jaji Damian Lubuva. WOTE tulio hai tena wenye afya tele hatuna budi kumtukuza Mungu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Baada ya kusema hayo niwakumbushe tu kwamba kila unapofanyika uchaguzi mkuu wa nchi, wabunge wengi hawarudi bungeni, yaani wanatemwa na wapiga kura wao  kwa maana ya kushindwa kwa kura katika uchaguzi huo, ama kutopitishwa na vyama vyao...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dhana: Kazi Mpya ya Riyama, Kaa Mkao wa Kula

Mwaka ndio huo tumeshauanza, na kazi ndio hizi zipo jikoni karibu kutoka, Hii ni ya mwigizaji anaesifiwa kwa kuvaa vizuri (kwa heshima) sio mwigine ni, Rihaya Ally, filamu inaitwa Dhana,kwamaneno mafupi  akizungumzia ujio wa filamu hii Riyama alisema;

“Dhana....... Mbayaaaaaaaaaa!! Kazini kazi ya mikono yangu wadau kaeni mkao wakula”

Tukae mkao wa kula,tuisubiri

 

10 years ago

Vijimambo

UKAWA SASA NI ZAMU YENU KULIA


Na Happiness KatabaziKWA Takribani Miezi miwili sasa vyama vinavyounda UKAWA vimekuwa vikipata dhoruba Kali kutoka kwa baadhi ya waliokuwa Viongozi wa juu wa UKAWA kuamua kuachia madaraka vyama vyao Vya siasa walivyokuwa wakivitumikia sambamba na wanachama wao.Tumewashuhudia waliokuwa Majemedali wa UKAWA ambaye aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba kuamua ukajiudhuru wadhifa wake huo ikiwa ni muda mfupi tu baada ya Waziri Mkuu aliyejidhuru Edward...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM na hofu ya nguvu ya Ukawa

Wataalamu wa saikolojia wanasema kuwa hakuna mtu asiyekuwa na hofu maishani. Hata Yesu alishikwa hofu pale msalabani, sembuse wanadamu?

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo matatu yanayoipa CCM nguvu dhidi ya UKAWA

Wakati Taifa likielekea katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu, ushindani wa wazi wa kisiasa kati ya chama tawala (CCM) na vyama vya upinzani kupitia Ukawa unaonekana bayana.

 

10 years ago

StarTV

UKAWA ya lalamikia jeshi la Polis kutumia nguvu nyingi.

Jeshi la polisi mkoani Mwanza mapema leo limelazimika kutumia mabomu ya kuwatawanya waandamanaji waliotaka kwenda uwanja wa ndege kwa ajili ya kumpokea Waziri mkuu mstaafu na mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia Umoja wa katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowasa.

Waziri mkuu mstaafu Lowasa amewasili jijini Mwanza mchana jana kwa ajili ya kujitambulisha rasmi kama mgombea urais kwa tiketi ya umoja huo.

Ulinzi uliimarishwa lakini saa chache baadae baadhi ya wakazi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete mnyonge, Pinda kachoka

KAMPENI za Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka 2005, zilitawaliwa na vituko lukuki, miongoni mwa vituko hivyo ni viongozi wa dini walipoamua kumfanyia kampeni Rais Jakaya Kikwete, kwa kumuita ni ‘Chaguo la...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI : Ukawa yategemea nguvu ya CUF, NCCR majimbo yote ya Urambo, Sikonge

Jimbo la Sikonge ni mamlaka yote ya Wilaya ya Sikonge yenye kata 20, vijiji 71 na vitongoji 281. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, jimbo hili lina wakazi 179,883, wanaume wakiwa 88,947, wanawake 90,936 na wastani wa watu ni 5.9 katika kila kaya.

 

10 years ago

Michuzi

TMF yatoa mafunzo kwa wanahabari wa Sauti ya mnyonge

Mratibu wa mradi wa ruzuku kwa waandishi wa habari wa mfuko wa waandishi wa habari nchini (TMF) Danstan Kamanzi akizungumza jana mjini Dodoma na kikundi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za wasiosikika (Sauti ya mnyonge) kwenye mafunzo ya siku tano ya kuandika habari za mitandao ya jamii yanayofanyika Dodoma hotel. Miongoni mwa waandishi wa habari 17 wa kikundi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za wasiosikika (Sauti ya mnyonge) wakiwa mjini Dodoma kwenye mafunzo ya siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani