NI MWANAMKE NYUMA YA MAFANIKIO AU KINYUME CHAKE?

UKIYACHUKULIA maisha ya Kibantu jinsi yanavyokwenda, asilimia kubwa ya watu huamini kwamba mwanaume ndiye hasa anayestahili kuwa na maisha mazuri kimapato. Jambo hili halisumbui katika familia nyingi na ni nadra sana kumkuta msichana akipigana mwenyewe kupata maisha mazuri kama mtu wake (rafiki yake wa kiume) yuko njema! Ndiyo maana kukawa na msemo unaofagiliwa sana na wanawake wenyewe kuwa ‘nyuma ya kila mafanikio ya...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili29 Aug
Rubani mwanamke mkenya na mafanikio yake
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
TWAA yamtunukia Tuzo ya Mafanikio Mwanamke wa Mwaka, Inspekta Prisca Komba
Rais wa TWAA, Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangaza washindi.
..Mama Debora Mwenda atwaa tuzo ya ‘Lifetime Achievement Award’
Na Andrew Chale wa modewjiblog
Taasisi ya Shirika la kijamii Tanzania Women of Achievement Awards (TWAA), wamewatunukia tuzo Wanawake mbali mbali Nchini kwa mafanikio yao katika tuzo za Wanawake wenye MafanikioTanzania zilizofanyika leo Machi 7, katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam, ambazo mwaka huu zinafanyika kwa mwaka wa Saba, mfululizo...
10 years ago
MichuziAfande Prisca Komba atwaa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania 2014
Wengine waliopata tuzo mbalimbali ni pamoja na Debora Mwenda, aliyepata tuzo ya Mwanamke mwenye mafanikio ya maisha, Penina Mlama, alipata tuzo ya Utamaduni na Sanaa, Mary Gitanho, Tuzo ya Ustawi wa Jamii.
...
10 years ago
Michuzi.jpg)
SIKU YA WALEMAVU DUNIANI ZANZIBAR YASHEREHEKEWA KITAIFA CHAKE CHAKE, PEMBA
.jpg)
.jpg)
10 years ago
VijimamboJENGO SKULI MPYA YA MICHAKAINI WILAYA YA CHAKE CHAKE YAFUNGULIWA RASMI
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AUNGURUMA VIWANJA VYA TIBIRIZI, CHAKE CHAKE PEMBA
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema iwapo atachaguliwa kuwa...
10 years ago
Vijimambo
BALOZI IDDI AZINDUA UKUMBI WA MIKUTANO WA MAKONYO CHAKE CHAKE PEMBA


10 years ago
Vijimambo
KINANA AZUNGUMUZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA




10 years ago
Mzalendo Zanzibar15 Sep
Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM — Gombani Chake Chake, Pemba.
Sikiliza mkutano huu moja kwa moja kupitia channel hii http://mixlr.com/muumbela
The post Live, Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015, CCM – Gombani Chake Chake, Pemba. appeared first on Mzalendo.net.