Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TWAA yamtunukia Tuzo ya Mafanikio Mwanamke wa Mwaka, Inspekta Prisca Komba

Rais wa TWAA Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangza mshindi

Rais wa TWAA, Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangaza washindi.

..Mama Debora Mwenda atwaa tuzo ya ‘Lifetime Achievement Award’

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Taasisi ya Shirika la kijamii Tanzania Women of Achievement Awards (TWAA),  wamewatunukia tuzo Wanawake mbali mbali Nchini kwa mafanikio yao katika tuzo za Wanawake wenye MafanikioTanzania zilizofanyika leo Machi 7, katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam,  ambazo mwaka huu zinafanyika kwa mwaka wa Saba, mfululizo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Afande Prisca Komba atwaa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania 2014

 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la Jinsia, Inspekta Prisca Komba (pichani), ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania kwa mwaka 2014.  Inspekta Komba, alishinda pia Tuzo ya Mwanamke wa Mwenye Mafanikio katika Sekta ya Umma.
Wengine waliopata tuzo mbalimbali ni pamoja na Debora Mwenda, aliyepata tuzo ya Mwanamke mwenye mafanikio ya maisha, Penina Mlama, alipata tuzo ya Utamaduni na Sanaa, Mary Gitanho, Tuzo ya Ustawi wa Jamii.
...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tuzo TWAA chachu ya mafanikio ya wanawake

KATIKA jamii inayotuzunguka kumejitokeza makundi, taasisi na wanaharakati mbalimbali ambao wanajitahidi kwa hali na mali  kuhakikisha wanafanya vizuri katika kumkomboa  mwanamke katika masuala mbalimbali.  Yote hayo yanafanyika kwa nia njema,...

 

10 years ago

TheCitizen

Inspector Prisca Komba: Strong-willed woman

>The tears running down her cheek spoke volumes of her emotions and jubilation as she took to the dais to receive her award. And the two accolades she received epitomized her duty and mission of ensuring justice to women and children was not only served, but served at that right time.

 

10 years ago

GPL

INSPEKTA PRICA KOMBA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI‏

Baadhi ya watoto wanaoishi katika kambi ya wakimbizi iliyopo Nyarugusu wilaya ya Kasuru Mkoa wa Kigoma,wakifurahia jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la jinsia, Inspekta Prica Komba (kulia)alipotembelea kambi hiyo  chini ya udhamini wa Vodacom Foundation kwenda kutathmini kama kuna unyanyasaji wa kijinsia  miongoni mwa wakimbizi wa Burundi na Kongo waliopo katika kambi hiyo. ...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/2014

Dk. Maria Kamm akiwasii ndani ya Ukumbi wa African Dreams. Mama Magreth Sitta (kushoto) akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa alipowasili ukumbini.…

 

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA

WAZIRI Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye  atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo  kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...

 

11 years ago

GPL

DK. MARIA KAMM NDIYE MSHINDI WA TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14

Dk. Maria Kamm ametwaa tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 iliyotolewa na Global Publishers akiwashinda Dk. Migiro, Prof. Tibaijuka na Anne Kilango!

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO

Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani