Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuzo TWAA chachu ya mafanikio ya wanawake

KATIKA jamii inayotuzunguka kumejitokeza makundi, taasisi na wanaharakati mbalimbali ambao wanajitahidi kwa hali na mali  kuhakikisha wanafanya vizuri katika kumkomboa  mwanamke katika masuala mbalimbali.  Yote hayo yanafanyika kwa nia njema,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TWAA yamtunukia Tuzo ya Mafanikio Mwanamke wa Mwaka, Inspekta Prisca Komba

Rais wa TWAA Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangza mshindi

Rais wa TWAA, Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangaza washindi.

..Mama Debora Mwenda atwaa tuzo ya ‘Lifetime Achievement Award’

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Taasisi ya Shirika la kijamii Tanzania Women of Achievement Awards (TWAA),  wamewatunukia tuzo Wanawake mbali mbali Nchini kwa mafanikio yao katika tuzo za Wanawake wenye MafanikioTanzania zilizofanyika leo Machi 7, katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam,  ambazo mwaka huu zinafanyika kwa mwaka wa Saba, mfululizo...

 

10 years ago

GPL

MCHAKATO WA TUZO ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (kulia) akisisitiza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya utoaji wa Tuzo za Wanawake wenye Mafanikio Tanzania ambazo zitafanyika Machi 7,2015 kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake, ikiwa na lengo la kuwatambua na kuwapongeza wanawake ambao wamechangia maendeleo ya nchi katika nyanja tofauti.… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake chachu kuondoa umaskini-Mizengo Pinda

Serikali imesema wanawake wa Tanzania watakuwa chachu ya taifa kuwa na uchumi wa ushindani utakaoondoa umaskini iwapo wataweza kutambua na kushiriki katika fursa zinazowazunguka kiuchumi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkapa atunukiwa tuzo ya mafanikio

Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametunukiwa Tuzo ya Mafanikio Katika Utumishi wa Umma kutokana na mchango alioutoa kwenye uchumi wakati wa utawala wake.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake wa Kilombero watambia mafanikio yao

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe.BAADHI ya wanawake wa wilaya ya Kilombero mkoa wa Morogoro ,wameeleza mafanikio ya kiuchumi waliyopata kupitia vikundi vya kuweka na kukopa kwamba yamesaidia pia kuimarisha ndoa miongoni mwao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake watumie siku hii kutathmini mafanikio

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani. Wanawake huadhimisha siku hii kwa kufanya shughuli mbalimbali zinazoonyesha umuhimu wao katika jamii na hivyo kuhimiza haki za wanawake zizingatiwe, ikiwa ni pamoja na malezi na elimu kwa watoto wa kike.

 

10 years ago

Michuzi

Afande Prisca Komba atwaa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania 2014

 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la Jinsia, Inspekta Prisca Komba (pichani), ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania kwa mwaka 2014.  Inspekta Komba, alishinda pia Tuzo ya Mwanamke wa Mwenye Mafanikio katika Sekta ya Umma.
Wengine waliopata tuzo mbalimbali ni pamoja na Debora Mwenda, aliyepata tuzo ya Mwanamke mwenye mafanikio ya maisha, Penina Mlama, alipata tuzo ya Utamaduni na Sanaa, Mary Gitanho, Tuzo ya Ustawi wa Jamii.
...

 

10 years ago

Michuzi

NI MAFANIKIO KUWA NA ASKARI WANAWAKE KATIKA ULINZI WA AMANI UN - MHE SIMBA

Katika picha hii ya maktaba anaoneka Mhe. Asha-Rose Migiro ( Mb) wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akiwa na baadhi ya askari wanawake kutoka JWTZ wanaoshiriki katika operesheni ya kulinda amani kupitia Umoja wa Mataifa huko Lebanon. Katika mchango wake, Mhe. Simba pamoja na mafanikio mengine ambayo Tanzania imeyapata katika miaka 20 tangu mkutano wa Beijing ni pamoja na askari wanawake kupata fursa za kushiriki katika operesheni za kulinza amani zinazoratibiwa na Umoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani