Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rubani mwanamke mkenya na mafanikio yake

Rubani wa kwanza wa kike nchini Kenya sasa amepata mafanikio zaidi kwa kufuzu kuwa rubani wa kwanza mwanamke barani Afrika kushika usukani wa ndege za kisasa aina ya Boeing 787 Dreamliner.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Anne-Marie Lewis — Si kazi ngumu mwanamke kuwa rubani

Anne-Marie LewisNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

LICHA ya kwamba uwepo wa wanawake katika sekta ya usafiri wa anga kuwa mdogo, uwezo wa kuwa viongozi katika usafiri wa anga hauna mwiko. Akizungumza na gazeti hili, rubani mwanamke wa kwanza kuongoza ndege aina ya Airbus A380 inayomilikiwa na kampuni ya Fastjet Tanzania, rubani Anne-Marie Lewis anasema wanawake barani Afrika hawapaswi kuogopa kuwa sehemu ya sekta hii inayokua barani kote.

Anasema si kazi ngumu mwanamke kuwa rubani na kwamba yeye anajiamini na...

 

10 years ago

Bongo5

Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake

Muibaji wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka aliyefiwa na mama yake mzazi hivi karibuni, amesema mafaniko aliyopata katika muziki wake yametokana na mama yake. Aslay ameiambia Bongo5 kuwa mama yake ndio alikuwa akimsihi na kumtia moyo katika muziki wake. “Wakati naanza muziki kabisa nafikiri mama yangu ndio alikuwa ani-support kwa kusema ‘mwanangu nenda huku […]

 

9 years ago

Michuzi

Mshindi wa Jaymillions na mafanikio yake: Ajenga nyumba ya kisasa na kuishi na familia yake goba, kufungua biashara

Mmoja ya washindi wa kitita cha shilingi Milioni 100 kupitia promosheni ya Jaymillions iliyokuwa inaendeshwa na Vodacom Tanzania iliyomalizika mwezi Aprili mwaka huu Irene Mrema, amesema tangu aibuke na ushindi amepata mafanikio makubwa mojawapo ikiwa ni kuweza kujenga nyumba ya kuishi na familia yake maeneo ya Goba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. “Nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikwamua kimaisha kupitia Jaymillion ya Vodacom kwa kuwa imeleta mafanikio makubwa katika maisha yangu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Kashkashi angani: Rubani awehuka, ateka ndege yake mwenyewe

Rubabi huyo alitenda kitendo hicho cha ajabu kama njia ya kujaribu kuomba hifadhi ya kisiasa nchini Uswisi.

 

10 years ago

GPL

NI MWANAMKE NYUMA YA MAFANIKIO AU KINYUME CHAKE?

UKIYACHUKULIA maisha ya Kibantu jinsi yanavyokwenda, asilimia kubwa ya watu huamini kwamba mwanaume ndiye hasa anayestahili kuwa na maisha mazuri kimapato. Jambo hili halisumbui katika familia nyingi na ni nadra sana kumkuta msichana akipigana mwenyewe kupata maisha mazuri kama mtu wake (rafiki yake wa kiume) yuko njema! Ndiyo maana kukawa na msemo unaofagiliwa sana na wanawake wenyewe kuwa ‘nyuma ya kila mafanikio ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

TWAA yamtunukia Tuzo ya Mafanikio Mwanamke wa Mwaka, Inspekta Prisca Komba

Rais wa TWAA Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangza mshindi

Rais wa TWAA, Irene Kiwia akiongea jambo mara baaada ya kutangaza washindi.

..Mama Debora Mwenda atwaa tuzo ya ‘Lifetime Achievement Award’

Na Andrew Chale wa modewjiblog

Taasisi ya Shirika la kijamii Tanzania Women of Achievement Awards (TWAA),  wamewatunukia tuzo Wanawake mbali mbali Nchini kwa mafanikio yao katika tuzo za Wanawake wenye MafanikioTanzania zilizofanyika leo Machi 7, katika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam,  ambazo mwaka huu zinafanyika kwa mwaka wa Saba, mfululizo...

 

10 years ago

Michuzi

Afande Prisca Komba atwaa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania 2014

 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni anayesimamia Dawati la Jinsia, Inspekta Prisca Komba (pichani), ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mwanamke mwenye Mafanikio Tanzania kwa mwaka 2014.  Inspekta Komba, alishinda pia Tuzo ya Mwanamke wa Mwenye Mafanikio katika Sekta ya Umma.
Wengine waliopata tuzo mbalimbali ni pamoja na Debora Mwenda, aliyepata tuzo ya Mwanamke mwenye mafanikio ya maisha, Penina Mlama, alipata tuzo ya Utamaduni na Sanaa, Mary Gitanho, Tuzo ya Ustawi wa Jamii.
...

 

10 years ago

Habarileo

Nassari atambia mafanikio yake

Joshua NassariMBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema) amesema atapita tena katika jimbo hilo mchana kweupe, kwani amefanya mambo mengi, ikiwemo kuhakikisha usafi wa Soko la Tengeru, hivyo wafanyabiashara kufanya biashara sehemu safi na salama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani