Nia Guzman: Sikuwahi kutoka na King Ba
LOS ANGELES MAREKANI
MAMA mtoto wa Chris Brown, Nia Guzman, ameweka wazi kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na raia wa Brazil, King Ba ambaye alidai kuwa mtoto aliyezaa na mwanamuziki, Chriss Brown ni wake.
Awali msanii huyo alichafua hali ya hewa baada ya kutangaza kuwa ndiye baba wa mtoto huyo, Royalty ambaye ni mtoto wa Chris Brown.
“Sikuwa na uhusiano wowote na King Ba zaidi ya urafiki tu, habari zote ni uhongo, ukweli ni kwamba Chris ni baba sahihi wa mtoto huyo japokuwa nina...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies18 Jul
JB Ashangazwa na Wanaowaponda Watangaza Nia Kutoka Bongo Movies
Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ anawashaanga baadhi ya watu wanaowashambulia na kuwanaoponda kwa maneno wasanii wa bongo movies waliojitokeza kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, JB aliandika; Nashangaa sana watu wanao toa matusi na maneno ya kejeli kwa wasanii waliotia nia.nasema mnatukosea.sio haki...kama unaona humkubali ni vyema ukanyamaza waachie wapiga kura wa jimbo...
10 years ago
BBCSwahili12 Jul
El Chapo Guzman atoroka jela Mexico
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Wakamatwa baada ya Guzman kutoroka jela
10 years ago
Raia Tanzania23 Jul
Rushwa ya uchaguzi, Guzman na hatima yetu
UCHAGUZI wa mwaka huu umehusisha na unaendelea kuhusisha matumizi makubwa ya fedha ambazo nyingi hazina maelezo, hali inayowatia shaka watu makini kiasi cha kushindwa kuelewa kama kweli pesa hizi zinazotumika ovyo namna hii, zinaweza kuwa zinatoka kwenye vyanzo halali.
Lakini hoja si tu kwamba pesa hizi zinatokana na vyanzo gani lakini vipi pesa hizi zikiweza kuwaweka viongozi madarakani ambao ni mazao ya pesa hizi haramu, ni nini utakuwa mustakabali wa taifa letu?
Wananchi nao...
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Ndege 11 zanaswa katika operesheni ya kumsaka Guzman
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PxVWckPZX0A/default.jpg)
SAUDI ARABIA WAMZIKA KING WAO ''KING ADBULLAH''
Obama Receives Gold Necklace From Saudi King Abdullah
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/23/24F5991B00000578-2922592-The_late_Saudi_king_pictured_here_with_President_Obama_in_2010_h-a-72_1422026323573.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/23/24FBDB1200000578-2922592-Saudi_King_Abdullah_was_buried_in_an_unmarked_grave_in_Riyadh_fo-m-90_1422029981493.jpg)
10 years ago
Mtanzania20 May
Sikuwahi kuiona barua ya msamaha-Mgonja
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Gray Mgonja, amedai mahakamani kwamba akiwa madarakani hakuwahi kuziona barua zilizotoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zikizuia Kampuni ya Alex Stewart kusamehewa kodi.
Mgonja alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya jopo la mahakimu linaloongozwa na John Utamwa, Saul Kinemela na Sam Rumanyika.
Katibu Mkuu huyo wa zamani alikana kuziona barua hizo, alipoulizwa swali na Wakili wake, Profesa Leonard...
9 years ago
Bongo523 Oct
Music: King Poza Ft Sultan King — Nampenda
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Mzee Yusuf: Sikuwahi kumkimbia Khadija Kopa
NA RHOBI CHACHA
MFALME wa muziki wa taarabu, Mzee Yusuf, ameibuka na kuweka wazi kwamba hakuwahi kumkimbia Malkia wa muziki huo, Khadija Kopa, anayedai kwamba amekataa kushirikiana naye katika wimbo aliotaka.
Mzee Yusuf aliongeza kwamba ameshafanya nyimbo mbili na Kopa za kushirikiana, lakini Kopa anadai nyimbo hizo walikutanishwa na mashirika yaliyotaka kazi hizo zifanywe nao na si vinginevyo.
“Unajua mie nashangaa sana hizi habari, Khadija hajawahi kuniambia tufanye wimbo wa pamoja na...