NIDA YAWATAKA WANANCHI KUEPUKA VISHOKA
Na: Hadija Maloya-NIDA.
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewaasa wananchi kuacha kutumia njia na watu wasio rasmi kisheria maarufu kama vishoka wakati wa mchakato wa kuomba Vitambulisho vya Taifa badala yake wafuate utaratibu rasmi uliowekwa na Serikali katika kuomba Vitambulisho hivyo.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bw. Geofrey Tengeneza kufuatia tukio la mwananchi mmoja (Jina limehifadhiwa) mkazi wa Kigogo fresh jijini Dar es salaam kufika ofisi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Wananchi watakiwa kuwa makini na ‘vishoka’
5 years ago
MichuziTANGA UWASA YAWATAKA WATEJA KUCHUKUA TAHADHARI WAKATI WA KUPATA HUDUMA KWA KUEPUKA MIRUNDIKANO
Amesema tahadhari hiyo wameichukua ikiwa ni hatua mojawapo kuunga mkono juhudi serikali kuzuia kuingia nchini ugonjwa huo kwa kutoa elimu kwa njia ya jumbe mbalimbali katika maeneo ya ofisi zao,hususani...
11 years ago
MichuziNIDA IMEUNDWA KWA MUJIBU WA SHERIA NA MAJUKUMU YA NIDA YAPO WAZI HIVYO NEC WAACHENI NIDA WAFANYE KAZI KAMA WALIVYOPANGIWA :WAZIRI CHIKAWE
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-csSzHCPURUM/U9D5dhDAr7I/AAAAAAAF5tg/YSuap_UhDgo/s72-c/PIX+1.jpg)
SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA MATAPELI
![](http://2.bp.blogspot.com/-csSzHCPURUM/U9D5dhDAr7I/AAAAAAAF5tg/YSuap_UhDgo/s1600/PIX+1.jpg)
Serikali imewataka wananchi kujihadhari na wizi ambao hufanywa na Taasisi za Fedha hewa ambazo zimekuwa zikidai kutoa mikopo kwa njia ya simu.
Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Assah Mwambene wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Amesema kuwa Taasisi hizo zimekuwa zikitumia mitandao ya simu za mkononi kutapeli wananchi kwa kuwaraghai kuwa watawapatia mikopo.
Mwambene ameongeza kuwa...
10 years ago
StarTV23 Feb
CCM Dar yawataka wabunge wake kuelimisha wananchi
Na Grace Semfuko,
Dar es Salaam.
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kimewataka wabunge wa Mkoa huo kupitia CCM kutoa elimu kwa wakazi wake kuhusiana na masuala ya kijamii yaliyomo kwenye Katiba inayopendekezwa ili wakazi hao waweze kuipigia kura bila kuwa na kikwazo chochote.
Katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar Es Salaam wajumbe wake wamesema hatua hiyo itawawezesha wakazi wengi kuipigia kura Katiba hiyo ili hatimaye iweze kupita na kutumika kama Katiba mama ya...
10 years ago
Dewji Blog14 Feb
CHADEMA yawataka Wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura
Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika hotel ya New Arusha jijini humo.
Viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wakifanya sala kabla ya kuanza mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini.
Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari.
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo-Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa chama chao kimejipanga...
5 years ago
MichuziPOLISI SINGIDA YAWATAKA WANANCHI KUPUUZA TAARIFA ZA WATU 14 KUUAWA WILAYANI MANYONI
9 years ago
StarTV18 Sep
Wananchi watakiwa kuepuka uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu
Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko juu ya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kutokana na baadhi ya watu kufanya vitendo vyenye mwelekeo wa uvunjifu wa amani.
Zaidi ya matukio 107 yameripotiwa katika vituo vya polisi na 38 tayari yamefunguliwa kesi na kufikishwa mahakamani yakiwa na jumla ya watuhumiwa 52.
Akitoa tamko hilo msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi SSP Advera Bulimba amesema katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea uchaguzi mkuu...