Nidhamu yazitesa Simba,Yanga
>Nidhamu mbovu ya wachezaji nyota wa Simba na Yanga imesababisha kuwatesa makocha wao wa kigeni ambao wamesikitishwa na tabia mbovu wanazozionyesha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Oct
Wachezaji Simba wasimamishwa kwa utovu wa nidhamu
Na Mwandishi wetu
Wakati benchi la Ufundi la klabu ya Simba likipewa mechi mbili kubadilisha matokeo ya timu hiyo, wachezaji ambao wamesimamishwa kwa tuhuma za kuhujumu timu na ukosefu wa nidhamu, wanatarajia kukutana na Kamati ya Nidhamu ya klabu hiyo kesho.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Simba, Stephen Ally, alisema kuwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji kilichofanyika juzi, kimeafiki kwamba benchi hilo katika mechi hizo mbili timu inatakiwa ishinde na kucheza...
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Hans Pluijm: Nimesajili wenye nidhamu Yanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ameeleza licha ya kusajili wachezaji bora katika kikosi chake, lakini pia nyota wake hao wana nidhamu ya hali ya juu hali inayomfanya aone hakuna cha kuizuia
Yanga kutwaa ubingwa na kufanya vizuri michuano ya kimataifa.
Mholanzi huyo alisema ubora wa kikosi chake na nidhamu ndiyo sifa kubwa itakayoiwezesha timu hiyo kufanya vizuri.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema anaamini ubora wa kikosi chake na...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
9 years ago
Mwananchi16 Aug
Kocha Pluijm ataka nidhamu kwa nyota wake Yanga
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-loze6uz99L4/VPx_cFdgBFI/AAAAAAADbqU/jECI3XpZ2pY/s72-c/MMGL0169.jpg)
AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0
![](http://1.bp.blogspot.com/-loze6uz99L4/VPx_cFdgBFI/AAAAAAADbqU/jECI3XpZ2pY/s1600/MMGL0169.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lcG7nGUTfKs/VPx_b-JPmrI/AAAAAAADbqQ/vw34R5bUalk/s1600/MMGL0172.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iOw-SP5Bt_Q/VPx_b4Yq6JI/AAAAAAADbqM/eqP8Gz6fDkk/s1600/MMGL0229.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-4oCOCI625Y0/Vga5yEO7rII/AAAAAAAD9kA/3Dd163fP7rk/s72-c/Simba-vs-Yanga-pic.png)
YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!
![](http://4.bp.blogspot.com/-4oCOCI625Y0/Vga5yEO7rII/AAAAAAAD9kA/3Dd163fP7rk/s640/Simba-vs-Yanga-pic.png)
11 years ago
Mwananchi25 Jun
KAMPENI SIMBA: Wagombea Simba waijadili Yanga
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s72-c/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-AKYztlnEv-U/VKI0eEHcyfI/AAAAAAADTYM/rI3EafiYGZk/s1600/Police-Coach-Goran-warns-LLB-to-expect-fightback-in-Kigali.png)
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...