Nigeria kuchunguza utekaji mpya
Serikali nchini Nigeria inachunguza taarifa za kutekwa idadi kubwa ya wanawake na wasichana kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV24 Oct
Nigeria inachunguza utekaji mpya
Serikali nchini Nigeria inasema inachunguza taarifa ya idadi kubwa ya wanawake na wasichana waliotekwa nyara na wanamgambo wa Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo, pamoja na kwamba tangazo la kusitisha mapigano lililotolewa na majeshi ya serikali.
Msemaji wa Serikali ya Nigeria Mike Omeri, ameiambia BBC kuwa serikali ya Nigeria inajaribu kuthibitisha kile kilichotokea.
Mwanakijiji mmoja anasema wanawake na wasichana arobaini wametekwa na kundi hilo.
Makubaliano ya...
11 years ago
Habarileo09 May
Alaani utekaji wasichana Nigeria
MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema Serikali inaungana na Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ) kulaani vitendo vya ukatili na utekaji kwa wasichana nchini Nigeria.
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Wanaharakati walaani utekaji wasichana Nigeria
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa kushirikiana na mashirika yanayotetea haki za wanawake na watoto, wamelaani vitendo vya utekaji nyara kwa wasichana zaidi ya 200 vilivyofanywa na maharamia (Boko...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
CWP wakerwa utekaji wasichana Nigeria
WABUNGE wanawake wa mabunge ya Jumuiya ya Madola, (CWP), wameitaka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati na kushirikiana na Serikali ya Nigeria, kuhakikisha watoto wa kike 200 wanaoshikiliwa na kundi la...
11 years ago
Habarileo27 Jul
Wabunge Madola walaani utekaji wasichana Nigeria
WABUNGE wanawake wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CWP) wametoa tamko la kulaani matukio ya utekaji na utesaji wa wasichana nchini Nigeria linalofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YiPFXMJknd69yP35KHwRdTj0EnqDFME6jhtgpW3*znNWap0-Hpx4KY5bPUj3MaQg-P5bR*jw31rGgnBsb-Oqw0m/MRSOBAMA.jpg)
MICHELLE OBAMA NAYE ALAANI UTEKAJI WASICHANA NIGERIA
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/05/IMG_0106.jpg)
WANAHARAKATI WAANDAMANA KUPINGA UTEKAJI WA WASICHANA NIGERIA
11 years ago
Michuzi16 May
Wanaharakati Waandamana jijini Dar es salaam Kupinga Utekaji wa Wasichana Nigeria
![Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (aliyeshika kipaza sauti) akisoma barua maalumu iliyotumwa kwa ubalozi wa Nigeria nchini Tanzania kuonesha wanaharakati hao kupinga utekaji wa wasichana uliofanyika Nigeria.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/05/IMG_0106.jpg)
![Mkurugenzi wa WiLDAF, Dk. Judith Odunga, akizungumza kupinga ukatili uliofanywa kwa wanafunzi wa kike kutekwa na kitendo cha Jeshi la Polisi nchini Tanzania kuzuia maandamano hayo ya wanaharakati.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/05/IMG_0068.jpg)
![Viongozi wakuu wa Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs) wakipokea mabango yenye jumbe anuai za kupinga vitendo vya kikatili vilivyofanywa na wanamgambo wa Boko Haram.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/05/IMG_0041.jpg)
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
Nigeria kuchunguza udhalilishaji kambini