Nigeria kuchunguza udhalilishaji kambini
Nigeria inachunguza taarifa za ubakaji, usafirishaji wa watoto na udhalilishaji kambi za wakimbizi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Wakimbizi wafia kambini mpakani Nigeria
10 years ago
BBCSwahili24 Oct
Nigeria kuchunguza utekaji mpya
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
‘Kauli ya Muhongo ya udhalilishaji’
KAULI ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kuwa kuna watanzania wanaomiliki eneo lenye ukubwa wa jiji la Dar es Salaam mara tatu imeelezwa kuwa ni udhalillishaji dhidi...
10 years ago
BBCSwahili28 Nov
Wanaume 13 washtakiwa kwa udhalilishaji
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Ripoti yafichua udhalilishaji wanawake
10 years ago
Habarileo21 Sep
Magereza wakanusha udhalilishaji wa watuhumiwa
JESHI la Magereza limesema limefanya uchunguzi kubaini tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa kwenye vyombo vya habari za kunyanyaswa na kutendewa vitendo visivyofaa watuhumiwa wa kesi za ugaidi na kugundua taarifa hizo hazina ukweli.
11 years ago
Habarileo18 Feb
Wataka kesi za udhalilishaji kuharakishwa
WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia, wamevitaka vyombo vya sheria nchini ikiwemo Mahakama, kuzipatia ufumbuzi wa haraka kesi za udhalilishaji wa kijinsia, ikiwemo ubakaji. Ofisa wa Utetezi wa Chama cha Waandishi wa Habari (TAMWA), Asha Abdi alisema jumla ya kesi 996 ziliripotiwa katika vituo vya Polisi Unguja na Pemba.
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
UN, SMZ kushirikiana kukomesha udhalilishaji wa kijinsia
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Dawati la Jinsia na Watoto, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Kijiji cha Mahonda wakati wa ziara fupi ya kukagua miradi inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa visiwani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja huo tangu kuanzishwa.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na...
10 years ago
Vijimambo28 Feb
DC Makonda kutinga kortini kwa udhalilishaji.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Makonda-28Feb2015.jpg)
Viongozi wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wanakusudia kumfikisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, Jumatatu ijayo kwa madai ya kuwakashifu, kuwadhalilisha na kuwatukana.
Viongozi hao ni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai.
Akisoma kusudio hilo jana mbele ya waandishi wa habari kwa niaba ya mwenzake, Guninita alisema.
Makonda hakustahili kuteuliwa...