Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kauli ya Muhongo ya udhalilishaji’

KAULI ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kuwa kuna watanzania wanaomiliki  eneo lenye ukubwa wa jiji la Dar es Salaam mara tatu imeelezwa kuwa ni udhalillishaji dhidi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAULI KUHUSU UONGO WA WAZIRI PROFESA MUHONGO

Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika (Mb). Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ametoa kauli za uongo kwa nyakati mbalimbali mwaka 2012 na 2013 ndani na nje ya Bunge kuhusu utafiti na uendelezaji wa gesi asilia. Waziri Muhongo alijibu uongo kwamba hafanyi kazi kwa vyombo vya habari nilipohoji kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge ya kuanzia Novemba 2011 ya kushughulikia ufisadi uliothibitika katika...

 

10 years ago

Michuzi

Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi

Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi.  Aliyasema hayo  alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ripoti yafichua udhalilishaji wanawake

Shirika la Human Rights Watch limeripoti udhalilishwaji kijinsia wanaofanyiwa wanawake nchini Somalia na askari wa kulinda amani

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria kuchunguza udhalilishaji kambini

Nigeria inachunguza taarifa za ubakaji, usafirishaji wa watoto na udhalilishaji kambi za wakimbizi.

 

11 years ago

Habarileo

Wataka kesi za udhalilishaji kuharakishwa

WANAHARAKATI wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia, wamevitaka vyombo vya sheria nchini ikiwemo Mahakama, kuzipatia ufumbuzi wa haraka kesi za udhalilishaji wa kijinsia, ikiwemo ubakaji. Ofisa wa Utetezi wa Chama cha Waandishi wa Habari (TAMWA), Asha Abdi alisema jumla ya kesi 996 ziliripotiwa katika vituo vya Polisi Unguja na Pemba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaume 13 washtakiwa kwa udhalilishaji

Wanaume 13 asili ya Somalia washtakiwa kwa udhalilishaji dhidi ya Watoto wa kike

 

10 years ago

Habarileo

Magereza wakanusha udhalilishaji wa watuhumiwa

Kamishna Jenerali wa Magereza, John MinjaJESHI la Magereza limesema limefanya uchunguzi kubaini tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikiripotiwa kwenye vyombo vya habari za kunyanyaswa na kutendewa vitendo visivyofaa watuhumiwa wa kesi za ugaidi na kugundua taarifa hizo hazina ukweli.

 

11 years ago

Habarileo

Tamwa yalaani udhalilishaji wanawake hotelini

CHAMA cha Waandishi wa Habarim Wanawake (TAMWA) kimesikitishwa na kasi ya matukio ya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo wanawake kubakwa katika hoteli za kitalii pamoja na wafanyakazi wa ndani majumbani.

 

9 years ago

Mwananchi

Tucta yamshukia Makonda kwa udhalilishaji

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limelaani watendaji wa Serikali katika ngazi mbalimbali kuwakandamiza na kuwadhalilisha wafanyakazi kwa kisingizio cha kaulimbiu ya Rais John Magufuli ya ‘Hapa Kazi Tu’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani