Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIGERIA TIMU YA KWANZA KUTINGA 16 BORA KUTOKA AFRIKA

Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina. KIKOSI cha Nigeria kimefanikiwa kuingia hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Dunia 2014 inayoendelea nchini Brazil usiku huu. Nigeria wametinga hatua hiyo wakiwa na pointi 4 mbali na kupoteza mchezo wa leo dhidi ya Argentina kwa mabao 3-2. Wamefuzu katika kundi F wakiwa nafasi ya pili nyuma ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

FIFA:Algeria ni timu bora Afrika

Algeria imesalia katika nafasi ya kwanza katika orodha mpya ya timu bora barani Afrika

 

9 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars kukutana na timu bora Afrika

Timu ya taifa ya Tanzania itakutana na timu iliyoorodheshwa bora zaidi Afrika kwenye raundi ijayo ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2018.

 

10 years ago

Bongo5

Damian Soul: Ntakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy (Audio)

Damian Soul ni msanii mwenye ndoto kubwa. Muimbaji huyo wa ‘Ni Penzi’ ameiambia BBC World Service kuwa atakuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kushinda tuzo ya Grammy. “Nina matarajio makubwa sana,” amesema Damian kwenye interview hiyo iliyofanywa na mtangazaji wa BBC, Alan Kasujja aliyekuja jijini Dar es Salaam kumhoji. “Nitakuwa mwanamuziki wa kwanza wa […]

 

10 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA MAKAMUZI KATIKA UTOAJI TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA NCHINI NIGERIA LEO

Diamond Platnumz akifurahia jambo na mmoja wa wasanii wa Kundi la P Square, Peter Okoye wakati akijiandaa kwa ajili ya shoo yake ya leo nchini Nigeria. Diamond akibadilishana mawazo na mwanamuziki Fally Ipupa jijini…

 

9 years ago

Bongo5

Sugua Gaga ya Shaa yawa video ya muziki ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufikisha views milioni 20 kwenye Youtube

Video ya wimbo wa Shaa, Sugua Gaga imekuwa video ya kwanza ya mwanamuziki kutoka Afrika Mashariki kufikisha views zaidi ya milioni 20 kwenye mtandao wa Youtube. Video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma iliwekwa kwenye mtandao huo March 24, 2014. Hadi Jumanne hii, video hiyo ilikuwa imetazamwa mara 20,311,199. Video ya pili iliyotazamwa zaidi ni ya […]

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo kesho kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria.

 

5 years ago

BBCSwahili

Barua kutoka Afrika: Jumbe za WhatsApp kwa akinamama wa Nigeria zimekuwa kero

Muandishi Adaobi Tricia Nwaubani anasema sasa watoto wanataka kuwafungia mama zao wasiwatumie jumbe za WhatsApp.

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 39 KUTOKA AFRIKA KUSINI WAPNDA MLIMA KILIMANJARO KUCHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA KUSAIDIA KUNUNUA TAULO MAALUMU KWA WASICHANA WALIOPO MASHULENI PINDI WAWAPO KATIKA HEDHI

Mwanzilishi wa taasisi ya Imbumba Foundation ,Richard Mabaso akizungumza lengo la safari hiyo ya kupanda Mlima Kilimanjaro ijulikanao kama Trek4 Mandela ambayo ni mahususi kwa ajili ya kuchangisha fedha zausaidia wasichana walioko mashuleni.
Mkurugenzi mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Washiriki wa Changamoto hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Tanzania,Allan Kijazi.
Katika timu hiyo wamo wakurugenzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Orodha ya wachezaji 10 wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Afrika (wanaocheza Afrika)

Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo hiyo anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samata

Mmoja wa wachezaji wanaowania tuzo hiyo anayecheza katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samata.

Siku moja baada ya Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kutangaza majina ya wachezaji kumi watakaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika, hatimaye wametangaza majina ya wachezaji kumi (10) watakaowania tuzo ya mchezaji bora anayecheza Afrika.

Katika orodha hiyo kwa mara ya kwanza Tanzania tumefanikiwa kuingiza mchezaji mmoja, Mbwana Ally Samata anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani