NIGERIA YAFA KIUME MBELE YA UFARANSA

Ufaransa wamefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Nigeria katika mtanange mgumu mno katika uwanja wa Taifa wa, kufuatia bao safi la kichwa la Paul Pgba na bao la kujifungwa wenyewe la Joseph Yobo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Zanzibar Heroes yafa kiume, leo hatua ya makundi kukamilika, ratiba hii hapa
Kikosi cha timu ya Zanzibar Heroes.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes imetolewa kiume katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge yanayofanyika nchini Ethiopia baada ya kuipa kipigo cha goli 3 kwa 1 timu ya Kenya.
Zanzibar Heroes ambayo michezo yake ya awali ilipoteza dhidi ya Burundi na Uganda jana na yenyewe imepata ushindi wake wa kwanza wa kukamilisha hatua ya makundi licha ya kuwa imeshatolewa katika mashindano hayo.
Magoli ya Zanzibar Heroes katika...
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
11 years ago
BBCSwahili17 May
Usalama wa Nigeria kuangaziwa Ufaransa
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Barabara za Nigeria : 'Mwanangu wa kiume alikufa kwa ajali ya gari- na sasa ninaongoza magari barabarani'
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Brazil 2014: Nigeria, Ufaransa, Uswisi zafuzu 16 Bora
9 years ago
Bongo521 Dec
Trey Songz athibitisha mbele ya mashabiki wa Nigeria juu ya collabo aliyofanya na Davido

Kwenye orodha ya nyimbo za album mpya ya Davido “B.A.D.D.E.S.T” ambayo ilikuwa itoke mwishoni mwa mwaka huu kabla ya kusogezwa hadi mwakani 2016, kuna wimbo ambao staa huyo wa Nigeria amemshirikisha muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz.
Licha ya kuwa aliwahi kuthibitisha kupitia Twitter, Trey Songz ambaye Ijumaa iliyopita (Dec.18) alitumbuiza Lagos, Nigeria kwenye tamasha kubwa la kila mwaka Rhythm Unplugged, mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa Trey alithibitisha kwa mara nyingine...
10 years ago
Mtanzania22 Oct
Yanga yaua, Simba yafa
*Stand United yazidi kupeta, Coastal Union yazinduka
NA WAANDISHI WETU
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, jana waliendeleza ubabe katika ligi hiyo baada ya kuifanyia mauaji Toto Africans kwa kuifunga mabao 4-1 huku mahasimu wao, Simba wakilala kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons.
Ushindi wa jana kwa Yanga ambao wamecheza mara moja ugenini dhidi ya Mtibwa Sugar na kushinda mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, ni wa sita kwa vinara hao katika Uwanja wa Taifa,...
11 years ago
Mwananchi19 Sep
Barca yashinda, Man City yafa