Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar Heroes yafa kiume, leo hatua ya makundi kukamilika, ratiba hii hapa

345173_heroa

Kikosi cha timu ya Zanzibar Heroes.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes imetolewa kiume katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge yanayofanyika nchini Ethiopia baada ya kuipa kipigo cha goli 3 kwa 1 timu ya Kenya.

Zanzibar Heroes ambayo michezo yake ya awali ilipoteza dhidi ya Burundi na Uganda jana na yenyewe imepata ushindi wake wa kwanza wa kukamilisha hatua ya makundi licha ya kuwa imeshatolewa katika mashindano hayo.

Magoli ya Zanzibar Heroes katika...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Hatua ya Makundi UEFA yakamilika, hii ndiyo listi ya timu zilizofuzu hatua ya 16 bora

2F3824FE00000578-3353037-image-a-25_1449700421460

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imekamilika usiku wa jumatano kwa kupatikana timu nyingine 8 ambazo zitaungana na timu 8 zilizofuzu jumanne kuingia katika hatua ya 16 bora.

Timu ambazo zimefuzu kuingia hatua ya 16 bora ni;

GROUP A;

Real Madrid

Paris Saint-German

GROUP B;

Wolfsburg

PSV Eindhoven

GROUP C;

Atletico Madrid

Benfica

GROUP D;

Manchester City

Juventus

GROUP E;

Barcelona

Roma

GROUP F;

Bayern Munich

Arsenal

GROUP G;

Chelsea

Dynamo Kyiv

GROUP H;

 

11 years ago

Michuzi

NIGERIA YAFA KIUME MBELE YA UFARANSA

Ufaransa wamefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Nigeria katika mtanange mgumu mno katika uwanja wa Taifa wa, kufuatia bao safi la kichwa la Paul Pgba na bao la kujifungwa wenyewe la Joseph Yobo.

 

9 years ago

Bongo5

Droo ya makundi Euro 2016 hii hapa

euro20161

Droo ya makundi ya mashindano ya kombe la Ulaya 2016 yatakayofanyika nchini Ufaransa imetoka ambapo wenyeji wako Kundi A pamoja na Uswisi, Albania na Romania.

euro20161

Uingereza iko Kundi B na ndugu zake Wales, pamoja na Urusi na Slovakia.

Mashindano ya Kombe la Ulaya yanatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 10, 2016 hadi Julai 10, 2016.

MAKUNDI YA EURO 2016 UFARANSA

KUNDI A
1 France
2 Romania
3 Albania
4 Switzerland

KUNDI B
1 England
2 Russia
3 Wales
4 Slovakia

KUNDI C
1 Germany
2 Ukraine
3 Poland
4...

 

11 years ago

Michuzi

MEMORIAL WEEKEND EXRAVAGANZA RATIBA KAMILI HII HAPA THREE NIGHTS, TWO DAYS TO PARTY

IJUMAA May 23, 2014 kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajirii  ni Oldskul Night kama wewe ni kijana wa zamani sio usiku wa kukosa Pata Oldskul hapo chini ujikumbushekumbushe mambo yatakavyokuwa Kingilio $10
Dj Luke The Mix Master III from Luke Joe on Vimeo.

JUMAMOSI May 24, 2014 Mechi ya Mpira DMV a New York kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 1 usiku Mechi itachezewa Walker Mills Park Address 8001 Walker Mills Rd, Capitol Heights, MD 20743 na baadae usiku wa International White Party Dress all...

 

10 years ago

Michuzi

DRFA yataja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam

Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA, kimetaja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam,inayotarajia kuanza kutimua vumbi mapema mwezi huu.Katika kundi (A) limepangwa kuwa na timu za Simba U20,Red Coast,Sifa UTD,Shababi,Ukonga UTD,Zakhem,Ugimbi,Beirahotspurs na Pan Africa.Katika kundi (B) litakuwa na timu za Yanga U20,Stakishari,FFU,New Kunduchi,Sinza Stars,Changanyikeni,Tuamoyo,Sifapilitan na Azania Unga.
Ligi hiyo ya mkoa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya mapinduzi Cup 2016 hii hapa, vigogo vya soka Azam Fc, Yanga watia timu Visiwani!!

IMG_6010

Uwanja wa Amaan Zanzibar ambao utakuwa moja ya viwanja vitakavyotimua vumbi katika Michuano ya Mapinduzi Cup 2016 yanayotarajia kuanza jioni ya leo na kesho..

Ratiba-ya-mapinduzi-cup-bongosoka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani