Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaua, Simba yafa

1.*Stand United yazidi kupeta, Coastal Union yazinduka

NA WAANDISHI WETU

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, jana waliendeleza ubabe katika ligi hiyo baada ya kuifanyia mauaji Toto Africans kwa kuifunga mabao 4-1 huku mahasimu wao, Simba wakilala kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons.

Ushindi wa jana kwa Yanga ambao wamecheza mara moja ugenini dhidi ya Mtibwa Sugar na kushinda mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, ni wa sita kwa vinara hao katika Uwanja wa Taifa,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Simba yaua, Yanga yarejea kileleni

SIMBA jana iliwapa raha mashabiki wake baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya Majimaji ya Songea kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mtanzania

Yanga yaua Zanzibar

ngoma na mafunzo*Yaitungua Mafunzo 3-0, Kamusoko, Ngoma tishio

NA MWANDISHI WETU

TIMU ya soka ya Yanga jana ilianza kwa kishindo michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuishushia kipigo cha mabao 3-0 timu ya Mafunzo katika mchezo wa ufunguzi uliopigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Kipigo cha Yanga kwa Mafunzo ni salamu tosha kwa wapinzani wao, Azam FC ambao wamepangwa kundi B kwenye michuano hiyo ambayo inahusisha jumla ya timu nane kutoka Tanzania Bara, Zanzibar na URA kutoka Uganda.

Mabingwa hao watetezi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaua, Azam leo

Mshambuliaji Mrisho Ngassa kwa mara nyingine alifunga mabao matatu na kuiongoza Yanga kuichapa Komorozine 5-2, kwenye Uwanja wa Taifa wa Mitsamiouli katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa.

 

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yaua, Prisons v Simba leo

Mbeya. Mbeya City imeichakaza Rhino Rangers kwa mabao 3-1  jana kwenye Uwanja wa Sokoine, wakati ndugu zao wa Tanzania Prisons, leo wataivaa Simba kwenye uwanja huo.

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

Yanga ni zaidi ya Mcharo Simba wametepweta baada ya kukubali goli moja kila kipindi alikuwa Tambwe aliandika bao la kwanza dk ya 44 ya kipindi cha kwanza, ikumbukwe kuwa Tambwe alikuwa kipenzi cha wana msimbazi hao na wakampotezea na kunyakuliwa na Yanga. Kipindi cha pili Busungu aliesajiliwa kutoka kwa wafunga buti wa mgambo aliiandikia Yanga bao la 2 dk ya 79. Yanga sasa imefuta uteja uliodumu zaidi ya miaka 5 kila wanavyo kutana na Simbanilikuwa ni kilio tu cha kusanga meno safari hii ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani