Yanga yaua Zanzibar
*Yaitungua Mafunzo 3-0, Kamusoko, Ngoma tishio
NA MWANDISHI WETU
TIMU ya soka ya Yanga jana ilianza kwa kishindo michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuishushia kipigo cha mabao 3-0 timu ya Mafunzo katika mchezo wa ufunguzi uliopigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kipigo cha Yanga kwa Mafunzo ni salamu tosha kwa wapinzani wao, Azam FC ambao wamepangwa kundi B kwenye michuano hiyo ambayo inahusisha jumla ya timu nane kutoka Tanzania Bara, Zanzibar na URA kutoka Uganda.
Mabingwa hao watetezi wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Yanga yaua, Azam leo
9 years ago
Mtanzania22 Oct
Yanga yaua, Simba yafa
*Stand United yazidi kupeta, Coastal Union yazinduka
NA WAANDISHI WETU
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga, jana waliendeleza ubabe katika ligi hiyo baada ya kuifanyia mauaji Toto Africans kwa kuifunga mabao 4-1 huku mahasimu wao, Simba wakilala kwa kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons.
Ushindi wa jana kwa Yanga ambao wamecheza mara moja ugenini dhidi ya Mtibwa Sugar na kushinda mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, ni wa sita kwa vinara hao katika Uwanja wa Taifa,...
9 years ago
Habarileo01 Nov
Simba yaua, Yanga yarejea kileleni
SIMBA jana iliwapa raha mashabiki wake baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-1 dhidi ya Majimaji ya Songea kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Yanga wajisalimisha Zanzibar
BAADA ya kuchomoa kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, uongozi wa klabu ya Yanga, umekiangukia Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), na kuomba radhi kwa kujitoa dakika za majeruhi. Makamu Mwenyekiti...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPjiYbqp70Fk8mpBVH*uzERJfV6q7BHjCat27BUZodYyKYQj0VMPWytRUITMI9cbmiSLebnD2PRLkSiiK54yW9Pa/yanga.jpg)
Yanga yaifunika Simba Zanzibar
10 years ago
MichuziYANGA YAITANDIKA KMKM YA ZANZIBAR 1-0
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
Mtanzania07 Sep
Yanga yagoma kuifuata Simba Zanzibar
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya soka ya Yanga ni kama inawakwepa watani wao wa jadi Simba, baada ya kuachana na mpango wake wa kuweka kambi visiwani Zanzibar kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayoanza Jumamosi hii.
Awali mabingwa hao wa Ligi Kuu walipanga kuifuata Simba Zanzibar, lakini ghafla wamebadili msimamo wao na kuamua kubaki jijini Dar es Salaam kwa madai huenda wakapata tabu ya uwanja wa kufanyia mazoezi wakiwa Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7p9VyZBZvwm47uvdd9PG-jqMTD*ugRVmzxD2hstdfDj2HIIGejbVr7QR6vqvT3zIvt8Aqr5zpsYQsEnzlwgRsQ5/yangayashitakiwa.jpg?width=650)
Yanga yashitakiwa kwa rais wa Zanzibar
10 years ago
VijimamboKMKM YA ZANZIBAR YACHAPWA BAO 1-0 KUTOKA KWA YANGA