Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nigeria:PDP lawamani kwa kuhujumu uchumi

Uongozi wa Muhamadu Buhari ambao utachukua madaraka siku ya ijumaa wiki hii unailaumu utawala wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu uchumi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

PDP chalaumiwa kwa kuhujumu uchumi Nigeria.


Uongozi wa Muhamadu Buhari ambao utachukua madaraka siku ya ijumaa wiki hii unailaumu utawala wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu uchumi

Uongozi wa serikali mpya ya rais Muhamadu Buhari ambayo itaingia madarakani siku ya ijumaa wiki hii inaulaumu utawala unaondoka wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika.

Uongozi wa All Progressives Congress (APC) unailaumu utawala uliopoa sasa kwa ukosefu mkubwa wa mafuta ukosefu wa umeme na upungufu wa uzalishaji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mlebanoni kizimbani kwa kuhujumu uchumi

RAIA wa Lebanon, Mohamed Attwi (27), amepandiswa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, akikabiliwa na mashitaka sita likiwemo la kuisababishia hasara ya zaidi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Raia wanne wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuhujumu uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya

Watuhumiwa wakifikishwa mahakamani. Pembe za Faru walizo kamatwa nazo watuhumiwa hao wanne rai wa China katika mpaka wa Kasumulu Kyela.

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya.Jamiimojablog

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wanne wa China na kulipa faini  baada ya kukutwa na hatia kwa makosa matatu ikiwemo uhujumu uchumi kwa kukutwa na pembe za faru.

Kabla ya kuanza kusoma hukumu Hakimu mfawidhi Michael Mteite alianza kuwashukuru Mawakili wa Serikali na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria: Uchumi unategemea kuwepo kwa kawi

Kwa jumla Nigeria hukosa umeme kwa jumla ya siku 46 kwa mwaka

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kuhujumu BVR

MTU mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kujifanya ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku akidaiwa kushirikiana na watu wengine wasiohusika na uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuhujumu mfumo wa mashine za BVR mkoani Mwanza.

 

11 years ago

Michuzi

RAIA WA KENYA KIZIMBANI KWA KUHUJUMU SERIKALI NA TCRA

Na Mwene Said wa Globu ya  Jamii, Mahakamani Mtu mmoja raia wa Kenya Nelson Onyango (43), mkazi wa Kariakoo, jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakamani akikabiliwa na mashitaka saba ya udanganyifu, kutumia kadi zisizosajiliwa, kuingiza nchini na kutumia mitambo ya simu bila kibali, kutoa huduma ya mawasiliano ya kimataifa bila kibali cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuisabishia serikali na mamlaka hiyo hasara ya Sh. Milioni 6.8.   Onyango alisomewa mashitaka yake leo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Obasanjo atimuliwa chamani PDP

Obasanjo ametimuliwa kutoka chama tawala cha PDP kwa kumkashifu rais Jonathan mbali na kupasua kadi yake hadharani.

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi lawamani kwa kutoa viza

>Wahalifu wa dawa za kulevya nchini wamedaiwa kuwatumia maofisa wa balozi zilizopo nchini kujipatia viza kirahisi kama njia mbadala ya kuendelea kufanya biashara hiyo haramu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sanaa kuinua uchumi Nigeria, Tanzania tunalo la kujifunza

HIVI karibuni dunia imeshuhudia na kushtushwa na namna ambavyo taifa la Nigeria limekua kiuchumi barani Afrika na kufanikiwa kuipiku Afrika Kusini. Hayo yamebainishwa katika takwimu mpya zilizotolewa za kupandisha pato...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani