Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi lawamani kwa kutoa viza

>Wahalifu wa dawa za kulevya nchini wamedaiwa kuwatumia maofisa wa balozi zilizopo nchini kujipatia viza kirahisi kama njia mbadala ya kuendelea kufanya biashara hiyo haramu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uingereza yabadili taratibu za kutoa viza

Ubalozi wa Uingereza nchini, umefanya mabadiliko katika mchakato wa kuomba viza baada ya kukaimisha majukumu yake kwa kampuni binafsi ya Teleperfomance Ltd.

 

5 years ago

Michuzi

Hakuna viza kwa afanyakazi wasiokuwa na ujuzi Uingereza

Wafanyakazi wasiokuwa na ujuzi hawatapata viza chini ya mpango mpya wa uhamiaji wa serikali baada ya Uingereza kujiondoa katika Muungano wa Ulaya.

Serikali inahamasiha waajiri kuacha kutegemea wafanyakazi wa kulipwa mshahara wa chini kutoka Ulaya na kuwekeza zaidi katika kudumisha wafanyakazi na kuendelezea teknolojia.

Wizara ya mambo ya ndani imesema Ulaya na raia wa nchi ambazo sio wanachama wa Muungano huo watakuwa wanachukuliwa walio katika daraja moja baada ya usafiri huru kati ya...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA BALOZI KAZAURA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo Februari 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Brexit: Uingereza haitatoa viza kwa wafanyakazi wasiokuwa na ujuzi

Mpango wa uhamiaji baada ya Uingereza kuondoka Muungao wa Ulaya unasisitiza kwamba waajiri waache kutegemea wafanyakazi wa malipo ya chini.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania, Burundi zaitwa kujiunga viza ya pamoja kwa watalii

Akiwa na viza ya pamoja ya utalii kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), mtalii anaweza kutembelea nchi yoyote katika jumuia hii lakini siyo Tanzania wala Burundi.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI KAZAURA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe saidi Meck Sadick. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waombolezaji wengine kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi awaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoa Elimu kwa Wananchi kuhusu mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

 Kamati ya Uongozi wa Baraza la Wawakilishi ya CCM ikimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mchango wa Shilingi Milioni 50,000,000/-  kwa ajili ya kusaidia vita dhidi ya mapambano ya kukabiliana na Virusi vya Corona Nchini.Kati kati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh.Zubeir Ali Maulid, Mnadhimu wa Baraza hilo Mh. Ali Salul Haji, Mwakilishi Viti Maalum Kusini Unguja Mh. Salma Mussa Bilal na Mwakilioshi wa Jimbo la Kikwajuni Mh. Salum Jazira.  Spika wa Baraza la Wawakilishi Mh. Zubeir...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:PDP lawamani kwa kuhujumu uchumi

Uongozi wa Muhamadu Buhari ambao utachukua madaraka siku ya ijumaa wiki hii unailaumu utawala wa Goodluck Jonathan kwa kuhujumu uchumi

 

10 years ago

StarTV

Waatalam wa kilimo, mifugo lawamani kwa kuzembea.

Na Sudi Shaabani, Mwanza. 

 

Wataalam wa kilimo na mifugo nchini wametupiwa lawama ya kutokufanya kazi kwa weledi na kujituma katika nafasi zao na jambo ambalo linasababisha Tanzania kuendelea kukabiliwa na janga la njaa

 

Utendaji wa kusuasua kwa baadhi ya Maafisa hao unatajwa kuwa ni changamoto inayoathiri wilaya nyingi nchini hali inayosababisha asilimia kubwa ya wakulima kukata tamaa ya kuendelea na kilimo kutokana na kutopata msaada kutoka kwa watendaji hao.

 

Kilimo, ambacho ni uti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani