Brexit: Uingereza haitatoa viza kwa wafanyakazi wasiokuwa na ujuzi
Mpango wa uhamiaji baada ya Uingereza kuondoka Muungao wa Ulaya unasisitiza kwamba waajiri waache kutegemea wafanyakazi wa malipo ya chini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-u13X7Mz5V68/XkzCfKicdZI/AAAAAAALeM4/qGC30r9d3p0O9Hmmki0Htnigp0z2VI7BQCLcBGAsYHQ/s72-c/_110951490_f6d60514-d480-4e12-bf5e-8c35034c7e23.jpg)
Hakuna viza kwa afanyakazi wasiokuwa na ujuzi Uingereza
![](https://1.bp.blogspot.com/-u13X7Mz5V68/XkzCfKicdZI/AAAAAAALeM4/qGC30r9d3p0O9Hmmki0Htnigp0z2VI7BQCLcBGAsYHQ/s640/_110951490_f6d60514-d480-4e12-bf5e-8c35034c7e23.jpg)
Serikali inahamasiha waajiri kuacha kutegemea wafanyakazi wa kulipwa mshahara wa chini kutoka Ulaya na kuwekeza zaidi katika kudumisha wafanyakazi na kuendelezea teknolojia.
Wizara ya mambo ya ndani imesema Ulaya na raia wa nchi ambazo sio wanachama wa Muungano huo watakuwa wanachukuliwa walio katika daraja moja baada ya usafiri huru kati ya...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Uingereza yabadili taratibu za kutoa viza
10 years ago
Habarileo03 Feb
Uingereza yaombwa kulegeza masharti ya kupata viza
WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema inaendelea kuisihi Uingereza na nchi nyinginezo kulegeza masharti ya viza kwa Watanzania na kupunguza usumbufu.
9 years ago
Dewji Blog24 Dec
Umuhimu wa wafanyakazi wenye ujuzi ndani ya sekta ya utalii
Meneja Mkazi wa kampuni ya JovagoTanzania, Bw. Andrea Guzzoni.
“Maendeleo ndani ya sekta ya Utalii hayawezi kufikia kiwango nzuri iwapo hakutakuwa na wafanyakazi wenye ujuzi wa kutosha”
Kukua kwa sekta ya utalii kunategemea hudumu za ukarimu kwa kiasi kikubwa. Huduma hizi zinapaswa kufanywa na wajuzi waliobobea ndani ya sekta ili kuweza kuwaridhisha wageni na kuleta maendeleo katika soko hili la utalii.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Meneja Mkazi wa kampuni ya...
10 years ago
VijimamboUBALOZI WA UINGEREZA WAKABIDHI VIFAA VYA USALAMA NA KUTOA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA (TCAA)
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Balozi lawamani kwa kutoa viza
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Tanzania, Burundi zaitwa kujiunga viza ya pamoja kwa watalii
5 years ago
BBCSwahili23 Feb
Marufuku yawekwa ya uhusiano wa mapenzi kati ya wafanyakazi na wanafunzi, Uingereza
9 years ago
Michuzi31 Aug