Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nimejipa break ya masuala ya uhusiano kwa karibia mwaka mmoja na nusu — AY

AY ameamua kujipa mapumziko marefu ya kutokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi. Rapper huyo alikiambia kipindi cha Mlimanidotcom cha Mlimani TV kuwa ana mwaka mmoja na nusu sasa bila kuwa kwenye uhusiano wowote. “Sasa hivi nimeingia kwenye break karibia mwaka mmoja na nusu,” alisema AY. “Kila mtu ana uamuzi wake na kila mtu ana mipango yake […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Breaking Newsss!!! Mtoto wa mwaka mmoja na nusu aanguka gorofa ya 5 flati za Mwenge Magorofani

DSC00528

Katika hali hisiyo ya kawaida, mtoto mmoja ambaye jina lake halijafahaamika ameanguka mchana wa leo kutoka juu ya jengo la gorofa, gorofa ya tano, huko maeneo ya kota za jeshi, Mwenge Magorofani..

Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wameelea kuwa, mtoto huyo hadi sasa ameumia vibaya sehemu za kichwani na kutoka damu nyingi, ambapo awali alikimbizwa hospitali ya Lugalo na baadae amepelekwa Muhimbili.

 kwa taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi punde.

0719076376.

 

9 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA MASUALA YA UTAMADUNI KATI YA TANZANIA NA CHINA WAENDELEA KUBORESHWA

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (katikati) akimsikiliza Afisa Balozi wa China anayehusika na masuala ya Utamaduni nchini Tanzania Bw. GAO WEI (wapili kushoto) walipofika katika ofisi za Wizara kutambulisha uongozi mpya na kutoa nafasi kwa uongozi wa zamani kuaga Wizara yenye dhamana na masuala ya Utamaduni leo Jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (kulia) akimkabidhi Afisa Balozi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchunguzi wa Panorama: Masuala mapya yaibuka juu ya uhusiano wake Mo Farah na Alberto Salazar

Maswali mapya yameibuka juu ya uhusiano baina ya Mo Farah na kocha wake wa zamani Alberto Salazar yaliyojitokeza katika uchunguzi mpya wa kipindi cha BBC Panorama.

 

11 years ago

Michuzi

BIG RESULTS NOW' YAKUSANYA MABILIONI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA

 Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, leo Machi 28, 2014. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la utaratibu wa kutimiza utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now).   Baadhi ya 'Mablogger', wakiwa bize wakati wa semina hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha.  Baadhi ya 'Mablogger',...

 

10 years ago

Michuzi

MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI KWA NUSU YA KWANZA YA MWAKA 2015

Na Willliam Kaijage
UTANGULIZI (PREAMBLE)•Mwanzoni mwa mwezi wa 7 ndio nusu ya mwaka. Zinakuwa zimepita siku 182 (au 183 kwa mwaka mrefu) na kubaki siku 182.•Yafuatayo ni matukio makubwa ya muziki wa dansi kwa nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2015
BENDI MPYA•Tarehe 31-Jan-2015, BMM Classic Band, ilizinduliwa katika ukumbi wa BMM Mwenge, opposite TRA.•Tarehe 21-Feb-2015,  JJ Band yazinduliwa katika ukumbi wa. JJ Band ni bendi dada ya Skylight Band itakayokuwa inatumbuiza mjini Mwanza katika hotel...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kijana akataa kula kwa mwaka mmoja

Landon Jones mwenye umri wa miaka 12 ni kijana aliyepoteza hamu ya kula pamoja na ile ya kunywa kwa siku moja pekee.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakwe wanyweshwa mkojo kwa mwaka mmoja,

Mwanamke awakomoa wake wanoko kwa kukojolea birika ya chai na kuwapa wanywe bila kujua kwa mwaka mmoja.

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU, BULYANHULU WATUMIA NUSU BILIONI KWA MWAKA KUFADHILI VIJANA MAFUNZO YA IMTT

 Meneja Ufanisi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, BGML, unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, Elias Kasikila, (kushoto), akiagana na baadhi ya vijana wanaokwenda kuhudhuria mafunzo ya ufundi chini ya mpango wa IMTT unafadhiliwa na mgodi huo, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye eneo la mgodi, huko Msalala mmoani Shinyanga. Mgodi huo umetuamia kiasi cha zaidi ya  nusu bilioni kila mwaka kufadhili mpango huo
Na K-VIS MEDIAMGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu, BGML,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani