Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nimejipanga kuzikabili changamoto- Thania

Unapowazungumzia waimbaji wa taarabu wenye ndoto za kufika mbali, kusimama wenyewe badala ya kubebwa, huwezi kumuacha Thania Msomali ambaye alijiengua kwenye kundi la Mashauzi Clasic ili apate muda wa kufanya kazi zake binafsi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Kupitia kauli mbiu ya mwaka 2015, tuangalie changamoto za sekta ya utalii na kutafuta mikakati ya kuzikabili

utalii 1

Ni siku chache tu zimepita, Tanzania imesheherekea siku ya utalii duniani kwa kauli mbiu “Mamilioni ya watalii ni mamilioni ya fursa” ambapo kauli mbiu hii imekuwa na lengo zuri la kuweka vipaumbele vya kimaendeleo katika sekta ya utalii Tanzania.

Tanzania, kati ya nchi za Umoja wa Mataifa, huadhimisha siku kuu hii kila tarehe 27 ya mwezi Septemba ya kila mwaka, kwa lengo kubwa la kuhamasisha uelewa juu ya sekta ya utalii na mchango wake katika jamii.

Ban Ki-moon, Katibu mkuu wa Umoja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Inawezekana kuzikabili kero za uandikishaji BVR

Tovuti hii jana na leo, tulichapisha taarifa kuhusu kasoro mbalimbali za mchakato wa uandikishaji wananchi katika Daftari la Wapigakura kwa kutumia mfumo wa utambuzi wa alama za mwili (BVR) zilizojitokeza mkoani Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania kuzikabili timu pinzani Afrika

Tanzania itachagua timu ya taifa ya mpira wa wavu mwishoni mwa mwezi huu kwa ajili ya michuano ya ufukweni ya Kanda ya 5 Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Man United kuzikabili Barca na Psg

Timu ya Manchester United watakwenda nchini Marekani kujiwinda na msimu ujao baada ya msimu huu kumalizika.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuiandae vyema Stars kuzikabili Nigeria, Misri

Ni wakati mwingine kwa Tanzania kujipanga katika soka baada ya wiki hii Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutangaza ratiba ya kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2017 (Afcon) na pia fainali za wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) za mwaka 2016, ambako Taifa Stars imepangiwa timu ngumu.

 

10 years ago

Habarileo

January-Nimejipanga kushinda urais 2015

NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amesema hakuna mwanasiasa yeyote anayemhofia kuwa kikwazo katika harakati zake za kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangaza nia hiyo Aprili mwaka huu. Januari alitangaza nia hiyo alipokuwa akihojiwa katika kituo cha Dira ya Dunia kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tibaijuka: Nimejipanga kutimiza ahadi zangu


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa  Anna Tibaijuka, amesema mikakati aliyojiwekea kwa sasa ni kutimiza ahadi alizowapa wapigakura na kutekeleza Ilani ya Uchanguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Aliyasema hayo kwenye ziara ya Rais Jakaya Kikwete mikoa ya kusini mwa Tanzania, ambako walipokewa kwa shangwe na kundi la wananchi kutokana na kufanikiwa kutatua kero nyingi za ardhi zilizokuwa katika maeneo yao.
Utatuzi huo ulihusisha pia kumnyang’anya ardhi mwekezaji...

 

10 years ago

Bongo5

Barakah Da Prince: Nimejipanga kuendelea kufanya vizuri

Muimbaji anayefanya vizuri kwenye muziki, Barakah Da Prince amesema yeye na menejimenti yake Tetemesha amejipanga vizuri kuhakikisha anaendelea kufanya vizuri. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni katika show ya miaka 10 ya THT iliyofanyikia Escape 1, Barakah alisema yupo makini na atajitahidi kufanya kile kinachohitajika kwenye muziki wa sasa ili aendelee kufanya vyema zaidi. “Mimi najiitaga […]

 

11 years ago

GPL

WOLPER: NIMEJIPANGA VILIVYO USIKU WA MATUMAINI 2014

Stori: Shani Ramadhani
MWANADADA anayefanya vizuri katika soko la filamu Bongo, Jacqueline Wolper amejitapa kuwa amejipanga vizuri katika kuhakikisha kuwa, siku ya tamasha kubwa la Usiku wa Matumaini atafanya mambo makubwa. Mwanadada anayefanya vizuri katika soko la filamu Bongo, Jacqueline Wolper Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Wolper alisema anataka siku hiyo aweke historia katika ulimwengu wa ndondi hivyo anafanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani