Nimesikitishwa na uzushi kuwa huwa naandikiwa mashairi yangu — Stamina
Hakuna kitu kinachomkera rapper kama kuambiwa kuwa huandikiwa mashairi na mtu mwingine (ghost writer). Hiyo ilikuwa ni chanzo cha beef iliyokwisha ya Drake na Meek Mill. Meek alidai kuwa Drake anaandikiwa mashairi na mtu. Tetesi kama hizo zimemkumba pia Stamina. Akizungumza Bongo5, Stamina amesema amesikitishwa na uzushi huo na kwamba watu walioamua kutangaza taarifa hizo, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies28 Oct
Uzushi Kuwa Irene Uwoya Amefariki Wasababisha Usumbufu Mkubwa Kwenye Familia
Taarifa za uzushi zilizoandikwa jana kwenye Facebook kuwa muigizaji wa filamu, Irene Uwoya amefariki, zinadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia yake.
Uzushi huo umekanushwa na kulaaniwa vikali na muigizaji mwenzake, Jacob Stephen aka JB.
“Ndugu zangu jana kupitia akaunti feki ya facebook kuna mtu alitoa picha yangu nikilia na kusema Irene Uwoya amefariki,” ameandika JB kwenye Instagram.
“Habari hii ya uongo ilileta shida kubwa katika familia yake na watu wa karibu. Leo tena...
9 years ago
Bongo528 Oct
Uzushi kuwa Irene Uwoya amefariki wadaiwa kusababisha usumbufu mkubwa kwenye familia
10 years ago
GPLTAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA DHIDI YA UZUSHI KUWA BABU SEYA NA MWANAE WAMEACHIWA HURU
10 years ago
MichuziTAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA KUHUSU TAARIFA ZA UZUSHI ZINAZOZAGAA KUWA BABU SEYA NA MAWAE WAMEACHIWA HURU
Napenda kuufahamisha Umma wa Watanzania kuwa taarifa hizo zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za Uongo na uzushi mkubwa na zinalenga kuipotosha jamii kwani wafungwa hao wapo gerezani na...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
ZUHURA YUNUS: Haikuwa ndoto yangu kuwa mtangazaji
10 years ago
GPL08 Sep
SHETTA: MUZIKI UMEFANYA MAISHA YANGU KUWA MEPESI
9 years ago
Mwananchi03 Jan
LUCKY SABAS : Kuwa mbunifu wa mitindo ilikuwa ndoto yangu
10 years ago
Bongo502 May
Nimesikitishwa kusikia baadhi ya wasanii wanasema sitoi connections za nje — AY
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)
Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...