Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ninayo mipango ya Jiji inayohusu machinga Mwanza…

Hii ni kwa watu wangu wanaofanya biashara zao katikati ya mji iwe ni pembeni ya barabara au mbele ya maduka 88.1 Mwanza, machinga endelea kuomba mipango ikamilike mtu wangu…nikutoka kwa Meya wa Jiji la Mwanza James Bwire ana sentensi zake anataka zikufikie; – James Bwire ‘Lazima tutafakari kwa kina ni kwa namna gani hawa wananchi […]

The post Ninayo mipango ya Jiji inayohusu machinga Mwanza… appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Nakukutanisha na picha 20 za Jiji la Mwanza…haya nimaeneo ya Capri point…

Leo nisiku ya pili tangu tumeuanza mwaka 2016 najua kuna watu wangu malengo yao nikuwekeza zaidi mwaka huu, labda ungetamani kupata nyumba kali uimiliki mwenyewe mtu wangu maeneo maarufu ya mji uinjoy na familia yako ulichokitafuta mwaka mzima…eneo ninalotaka kukuonyesha nikutokea Rock City Mwanza jiji lenye miamba ya mawe Capri point…naambiwa ndio sehemu yenye thamani […]

The post Nakukutanisha na picha 20 za Jiji la Mwanza…haya nimaeneo ya Capri point… appeared first on...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga wang’ang’ania katikati ya jiji

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’ wameendelea kufanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam huku wakisema maeneo wanayopewa na serikali si rafiki kwa biashara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema...

 

11 years ago

GPL

HALMASHAURI YA JIJI YABOMOA MEZA ZA MACHINGA POSTA DAR

Maafande wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi leo wameendelea na bomoabomoa ya meza za wafanyabishara ndogondogo 'Wamachinga' kama walivyonaswa na kamera yetu maeneo ya Posta Mpya…

 

10 years ago

GPL

MKUU WA MKOA MWANZA AWAJIA JUU VIONGOZI WA JIJI, ATAKA MACHINGA WAPEWE MAENEO YA BIASHARA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiongea na Machinga leo jijini Mwanza.…

 

5 years ago

Michuzi

JIJI LA DODOMA LAKABIDHI MAGARI YENYE THAMANI YA SH MILIONI 345 KWA WATAALAMU WAKE WA MIPANGO MIJI

Charles James, Globu ya Jamii
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma limekabidhi magari matatu kwa Idara ya Mipango Miji kwa ajili ya kurahisisha shughuli za wataalamu wake katika kudhibiti ujenzi holela kwenye jiji hilo.
Hayo yamefanyika ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa la kusimamia utekelezaji wa mpango kabambe wa Jiji la Dodoma.
Akizungumza wakati wa kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema magari hayo yamegharimu kiasi cha Sh...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga watakiwa kwenda Machinga Complex

WAFANYABIASHARA wadogowadogo ‘machinga’ walioondolewa  katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es Salaam wametakiwa kwenda kufanyia biashara zao  katika jengo la Machinga Complex. Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Machinga Complex,...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Semakafu: Sipendi mijadala inayohusu madaraka pekee

Wakati Bunge la Katiba likiendelea na safari yake ya kuchambua Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya huku kukiwa na ombwe la baadhi ya wajumbe kususia vikao, baadhi ya makundi maalumu yanatoa angalizo kuwa lazima wajumbe wazingatie maoni waliyoyatoa.

 

9 years ago

Press

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.

SONY DSC

SONY DSC

Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.

Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...

 

10 years ago

Michuzi

ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kuwasilishwa Peru

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), akipokea ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kutoka kwa Uester Kibona ambaye ni mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM CC). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge  (wa kwanza kushoto) na Naibu Waziri  Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani