Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nakukutanisha na picha 20 za Jiji la Mwanza…haya nimaeneo ya Capri point…

Leo nisiku ya pili tangu tumeuanza mwaka 2016 najua kuna watu wangu malengo yao nikuwekeza zaidi mwaka huu, labda ungetamani kupata nyumba kali uimiliki mwenyewe mtu wangu maeneo maarufu ya mji uinjoy na familia yako ulichokitafuta mwaka mzima…eneo ninalotaka kukuonyesha nikutokea Rock City Mwanza jiji lenye miamba ya mawe Capri point…naambiwa ndio sehemu yenye thamani […]

The post Nakukutanisha na picha 20 za Jiji la Mwanza…haya nimaeneo ya Capri point… appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Ninayo mipango ya Jiji inayohusu machinga Mwanza…

Hii ni kwa watu wangu wanaofanya biashara zao katikati ya mji iwe ni pembeni ya barabara au mbele ya maduka 88.1 Mwanza, machinga endelea kuomba mipango ikamilike mtu wangu…nikutoka kwa Meya wa Jiji la Mwanza James Bwire ana sentensi zake anataka zikufikie; – James Bwire ‘Lazima tutafakari kwa kina ni kwa namna gani hawa wananchi […]

The post Ninayo mipango ya Jiji inayohusu machinga Mwanza… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Ana Haya Kuhusu Picha Hii

“Duniani wawili wawili ndugu yetu hatupo nawe ila kuna wakaka umefanana nao Dah  kazi ya Mungu haina makosa wakati kati Marehemu kanumba wa kushoto na kulia ni wakaka waliofanana na Marehemu kanumba 

Mungu akurahamu akusamehe dhambi zako akuweke panapo stahili kwa bahati nzuri hawa nao ni wasanii wazuri tu mimi nawaombea muje kua kama Marehemu katika Kila kile alicho kua nacho na kuwa kioo chetu Ishallah ili muwe faraja kwetu sisi wasanii wenzake pia kwa wapenzi wa kazi zake tulimpenda ila...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mwana FA ageuka mchora hina katikati ya jiji la Nairobi!

Anatokea Tanga kule mapenzi yalikozaliwa, hivyo usishangae kama Hamis Mwinjuma aka Mwana FA akamchora msichana hina na akapendeza! Hata hivyo hiyo ni kazi aliyoifanya mara moja tu tena kwenye moja ya scene ya video ya ‘Kiboko Yangu’ anayoshoot na Ali Kiba aliyemshirikisha kwenye wimbo huo, jijini Nairobi. Binamu aka The Choir Master, amepost picha Instagram […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Maneno Haya ya Lulu Kwenye Picha Hii ya Waacha Hoi Mashabiki Wake

Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kumwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.

LULU542

“Le Mbebe…! Le Super Handsome🙌🙌🙌🙌Le Twinnie💖💖💖
Mzaa Chema…Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA...

 

10 years ago

Bongo Movies

Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB Juu Ya Picha Hizi Akiwa na Shamsa na Aunt

Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM  wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.

Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mavazi haya yawatokea puani Sauti Sol, yafanya Wakenya wawaite ‘mashoga’

Sauti sol3

Kundi la Sauti Sol la nchini Kenya limejikuta likikabiliana na mashambulizi kutoka kwa mashabiki wao, baada ya kutinga mavazi ambayo yameleta tafsiri tofauti kiasi cha kusababisha wengi wazungumzie zaidi mavazi tena kwa mtazamo hasi, badala ya onesho walilofanya.

sauti neti

Mashabiki wa muziki wa Kenya wameyabatiza jina mavazi hayo na kuyaita ‘mavazi ya neti za mbu’, na wengine kudiriki hata kusema yamefanya waonekanae kama ‘mashoga’.

Mavazi hayo waliyavaa kwenye onesho la Mega Party Shanzu Teachers...

 

9 years ago

TheCitizen

The Paris agreement is another false ‘turning point’ on climate

History, on the “right side” of which Barack Obama endeavours to keep us, has a sense of whimsy. Proof of which is something happening this week: Britain’s last deep-pit coal mine is closing, a small event pertinent to an enormous event, the Industrial Revolution, which was ignited by British coal.

 

9 years ago

MillardAyo

Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46

Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng’ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini. >> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi […]

The post Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46 appeared...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani