Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NINGEKUWA MIMI MUHONGO, NISINGEKUBALI KUWEKWA KIPORO MUDA WOTE HUO

Profesa Sospeter Muhongo. Kwako mheshimiwa, Profesa Sospeter Muhongo.
Nilizungumza nawe kupitia ukurasa huuhuu mara ya kwanza, nikakueleza ujumbe wangu ambao najua hukuupokea vizuri japo lengo langu lilikuwa ni kukusaidia uepukane na hii kadhia inayoendelea kukukuta sasa. Kwa mara nyingine nataka kuzungumza nawe kwani naamini wewe si sikio la kufa. Najua unapitia kipindi kigumu sana tangu kuibuka kwa sakata la mabilioni ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NINGEKUWA MIMI MUHONGO, KWA HILI LA ESCROW, NINGENG’ATUKA

Waziri kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza, kombe la mshindi wa pili kwa walipa kodi wakubwa nchini wakati wa maadhimisho ya nane ya siku ya mlipa kodi iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Vodacom imeongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini.Waziri kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi watatu bora wakubwa walipa kodi kutoka kushoto ni Meneja wa masuala...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI MUHONGO, KWA HILI LA ESCROW, NINGENG’ATUKA

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. Kwako mheshimiwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Najua hunifahamu na hakuna mazingira yanayoweza kunikutanisha na wewe na ndiyo maana nimeamua kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe wangu kwako, ambao najua hutaufurahia. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Juni 25, 1954 huko Musoma kama wewe. Mimi si msomi mwenye ‘CV’ ya nguvu na kubobea kwenye...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ningekuwa mimi mgombea, ningewalipia wote nauli na posho ili waweze kwenda kupiga kura

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI HAWA GHASIA, NINGEKUWA WA KWANZA KUJIUZULU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- tamisemi), Hawa Abdulrahman Ghasia. Kwako Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- tamisemi), Hawa Abdulrahman Ghasia. Ni matumaini yangu kwamba bado upo kwenye wakati mgumu kutokana na madudu yaliyotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha sehemu nyingine uchaguzi uahirishwe kutokana na dosari za...

 

10 years ago

Mwananchi

ESCROW: Ikulu yazidi kumweka kiporo Muhongo

>Licha ya watu mbalimbali kutaka Rais Jakaya Kikwete kumwajibisha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhusiana na sakata la fedha za escrow, Ikulu imesema suala hilo litatolewa uamuzi wakati wowote baada ya mapumziko ya sikukuu.

 

10 years ago

Vijimambo

Ikulu yaeleza hatma kiporo cha Muhongo

Yasema JK atatimiza ahadi hivi karibuniMkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Salvatory Rweyemamu.
Wakati makundi mbalimbali katika jamii yakishinikiza Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, awajibishwe, kutokana na kuhusishwa na kashfa ya kampuni ya IPTL ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kifisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete atatoa maamuzi kuhusu waziri huyo hivi karibuni.

Maamuzi ya Rais...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI CHENGE, NISINGESUBIRI KUWAJIBISHWA

Andrew Chenge. Kwako Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.
Najua hunifahamu na hakuna mazingira yanayoweza kutukutanisha pamoja lakini hiyo hainizuii kukufishia ujumbe wangu kwako, najua ‘utamaindi’ lakini ni lazima nikwambie kwa faida yako na ya Watanzania. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Desemba 24, 1947 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Zagayu kama wewe. Sikusoma Sekondari ya St. Mary’s Junior...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI PROFESA LIPUMBA, NINGEENDELEA NA HARAKATI

Profesa Ibrahim Haruna Lipumba. Kwako Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF).
Najua bado unaendelea kuuguza majeraha kutokana na kipigo kikali ulichoshushiwa na polisi siku chache zilizopita pale ulipojaribu kwenda kuwatawanya wafuasi wa chama chako waliotaka kuandamana na kuhudhuria mkutano wako wa hadhara. Najua bado unakabiliwa na kesi ya kuwashawishi wafuasi wako kutenda kosa la...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI NYALANDU, NISINGETANGAZA KUGOMBEA URAIS

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Samuel Nyalandu. Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Samuel Nyalandu.
Najua uko bize sana kwa sasa ukiweka sawa mipango yako kuhakikisha mwaka huu unaingia ikulu katika uchaguzi mkuu ujao, najua itakuwa vigumu kwa ‘kapuku’ kama mimi kuonana na wewe ndiyo maana nimeamua kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani