Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yaeleza hatma kiporo cha Muhongo

Yasema JK atatimiza ahadi hivi karibuniMkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Salvatory Rweyemamu.
Wakati makundi mbalimbali katika jamii yakishinikiza Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, awajibishwe, kutokana na kuhusishwa na kashfa ya kampuni ya IPTL ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kifisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Ikulu imesema Rais Jakaya Kikwete atatoa maamuzi kuhusu waziri huyo hivi karibuni.

Maamuzi ya Rais...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

ESCROW: Ikulu yazidi kumweka kiporo Muhongo

>Licha ya watu mbalimbali kutaka Rais Jakaya Kikwete kumwajibisha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhusiana na sakata la fedha za escrow, Ikulu imesema suala hilo litatolewa uamuzi wakati wowote baada ya mapumziko ya sikukuu.

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI MUHONGO, NISINGEKUBALI KUWEKWA KIPORO MUDA WOTE HUO

Profesa Sospeter Muhongo. Kwako mheshimiwa, Profesa Sospeter Muhongo.
Nilizungumza nawe kupitia ukurasa huuhuu mara ya kwanza, nikakueleza ujumbe wangu ambao najua hukuupokea vizuri japo lengo langu lilikuwa ni kukusaidia uepukane na hii kadhia inayoendelea kukukuta sasa. Kwa mara nyingine nataka kuzungumza nawe kwani naamini wewe si sikio la kufa. Najua unapitia kipindi kigumu sana tangu kuibuka kwa sakata la mabilioni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

9 years ago

Vijimambo

Polisi yaeleza sababu kifo cha Mtikila

  Mchungaji Christopher MtikilaKibaha/Dar. Polisi mkoani Pwani, imeweka bayana sababu za kitaalamu za kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila ikisema alivunjika mbavu nane upande wa kushoto, damu kuingia kwenye mfumo wa hewa na kushindwa kupumua.

Mchungaji Mtikila alifariki dunia juzi alfajiri baada ya gari alilokuwa akisafiria kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam, likiwa katika mwendo mkali, kuacha njia na kupinduka. Alirushwa nje kupitia kioo cha mbele kutokana na kutofunga mkanda.

Katika ajali...

 

10 years ago

Habarileo

Kamati ya Bunge yaeleza kiini cha migogoro ya ardhi

Lembeli JamesKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema ni vijiji 1,000 tu kati ya 11,000 vilivyopo nchini ndivyo vyenye mpango wa matumizi bora ya ardhi jambo linalosababisha kuwapo kwa migogoro ya ardhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Agape yaeleza siri ya ushindi kidato cha sita

SHULE ya Sekondari Agape Mbagala imekuwa ya kwanza jijini Dar es Salaam katika matokeo ya kidato cha sita yaliyotangazwa hivi karibuni na kusema nidhamu ya wanafunzi, ushirikiano na kujituma kwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Ikulu: Siku za Profesa Muhongo zinahesabika

prof muhongoAziza Masoud na Grace Shitundu, Dar es Salaam
IKULU imewataka Watanzania kuwa na subira kwa kuwa Rais Jakaya Kikwete wakati wowote kuanzia sasa atatoa uamuzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Profesa Muhongo na baadhi ya viongozi wengine wa Serikali wanahusishwa na sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Viongozi wengine ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Eliakim Maswi ambaye amesimamishwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ikulu yatoa tamko kuhusu Muhongo

 Ikulu imewataka Watanzania kuacha kulichukulia suala la kujiuzulu kwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kama jambo la ‘kufa na kupona’, huku ikieleza kuwa waziri 0huyo mpaka sasa bado ni kiongozi wa Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete usituachie kiporo cha mikanganyiko hii mibaya

Sikutaka hata kidogo kudiriki kuwarejesha Watanzania katika machungu mengi ambayo huenda tayari yalianza kutoweka katika mioyo yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani