Nipitisheni nilirejeshe Jimbo la Kawe- Pijei

MTIA nia ya kuwania ubunge wa Jimbo la Kawe, Jumaa Mhina 'Pijei', amewaomba wananchi wa Kawe kumpa kura ili aweze kulirejesha jimbo mikononi mwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza katika kampeni zake za mwishoni jimboni humo, Pijei, alisema mbali ya kujitokeza makada 21 kulitaka jimbo hilo, wananchi ndiyo wenye uwezo wa kuamua nani wa kumpa nafasi hiyo.
"Wanachama sehemu zote tulizopita watakuwa tayari wamemwona anayefaa kupeperusha bendera ya CCM katika Jimbo la Kawe, nami naamini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJUMAA MHINA 'PIJEI' ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE
10 years ago
Michuzi
IDD AZAN na Jumaa Mhina 'Pijei' wachukua fomu kuwania ubunge Jimbo la Kinondoni na Kawe


10 years ago
VijimamboAMON MPANJU AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE
Akizungumza na Father Kidevu Blog, katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Mpanju amesema huu ni wakati muafa kwake kuwatumiakia wana Kawe.
Mpanju ambaye kitaaluma ni Mwanasheria, amesema...
11 years ago
Michuzi02 Aug
MANISPAA YA KINONDONI YAENDELEA NA UTEKELEZA WA ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE


10 years ago
Vijimambo
DIAMOND PLATNUMZ: MBUNGE HALIMA MDEE NI MZIGO JIMBO LA KAWE

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope...
11 years ago
Michuzi02 Aug
MANISPAA YA KINONDONI YAFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE


10 years ago
Vijimambo
CCM JIMBO LA KAWE YAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU YAMNADI KIPPI WARIOBA


10 years ago
Michuzi
Mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura ajitosa kuwania ubunge jimbo la kawe

Mwandishi wa habari na mtangazaji maarufu nchini Abdallah Idrissa Majura (pichani) jana ameahidi kufanya mapinduzi ya michezo katika jimbo la kawe ambao utakuwa ni mfano kwa maeneo mengine na taifa kwa ujumla.Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama cha mapinduzi, amesema endapo atapendekezwa na ccm kisha kuchaguliwa kuwa munge wa jimb hilo ataanza na michezo mitano ambayo ni soka, mpira wa kikapu,netiboli, wavu na...
10 years ago
VijimamboKADA WA CCM ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM