Nisha: Huyu ‘Malaika’ Aliniambia “Mama Nibebe”
Huyu malaika alinambia mama inama nikwambie,nikainama kumsikiliza
Akanambia "mama nibebe"
Nilimnyanyua na kumuweka mapajani mwangu,akanilalia mabegani mwangu
Wengine walikuwa wanaendelea kuftari ila nakumbuka mm nilishindwa kuftari nikimfikiria huyu mtoto wa miaka 4-5 kwanini kaninong'oneza mama nibebe??? Nimejifunza upendo,watoto hawa wanahitaji mapenzi yetu sisi tulioko nje.
Wakiwa nasi wanafarijika sana,hata usipowapa chochote just mapenzi na kuwajali wanafarijika,maskini kammiss mommy yake...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
NISHA: NIACHENI NA MAMA YANGU
11 years ago
Michuzi09 Feb
MALAIKA NAKUPENDA MALAIKA...sings dr schaeffer as he leaves bukoba
10 years ago
Vijimambo
Huyu na Yule...........Mahojiano na Dr na Mama Williams

Waasisi wa AHEAD Inc. Taasisi ambayo iliasisiwa mwaka 1985 na inajishughulisha kubadili maisha ya wengi nchini Tanzania kupitia Elimu, Stadi za Maisha, Afya ya Mama na Mtoto na pia kuzisaidia jamii mbalimbali..
Wamezungumzia mengi kuhusu namna walivyofika Tanzania kwa mara ya kwanza 1974. Kilichowapeleka, walivyoamua kubaki huko mpaka sasa, shughuli za Taasisi yao na mengine mengi
Karibu
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog...
11 years ago
GPL
MASKINI MAMA HUYU, TITI LIMEOZA!
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
Masikini mama huyu kwa maumivu anayoyapata, aomba kukatwa mguu

JAMII imeombwa kutoa msaada wa hali na mali kwa Bi. GRACE KAIZA mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye ameomba kukatwa mguu wake kutokana na Saratani ( Kansa) katika mguu huo.
Akizungumza na *JEMBE Habari* Bi. Grace Kaiza amesema amekuwa akisumbuliwa na maradhi hayo kwa muda mrefu jambo lililomuathiri kwa kiasi kikubwa kiafya na hata kiuchumi.
Akielezea namna tatizo hilo lilivyompata amesema lilianza kama uvimbe katika mguu wake kisha kufanyiwa upasuaji mara kadhaa lakini haikusaidia na ndipo...
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Je ni kwa nini mama huyu alimuoa binti mwenye umri wa mwanawe?
11 years ago
GPL
FABREGAS: WENGER ALINIAMBIA SIHITAJIKI ARSENAL
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja na Marehemu baba yake.
"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...