NIT kukagua magari yanayotoka nje
SHIRIKA la Viwango nchini (TBS) limeingia mkataba na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kufanya ukaguzi wa magari yanayoingizwa nchini kutoka katika nchi ambazo hazina mawakala wa ukaguzi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Feb
NIT, TBS kukagua magari yanayoingia nchini
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kinatarajia kushirikiana na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kukagua magari yanayoingia nchini. Akizungumza mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mkuu wa Chuo, Dk Zacharia Mganilwa alisema lengo ni kukagua ubora wa magari yanayoingizwa kutoka nchi ambazo hazina wakala wa ukaguzi.
10 years ago
GPLNIT KUPIMA MAGARI YOTE YALIYOINGIA NCHINI BILA KUKAGULIWA
9 years ago
MichuziSERENGETI GLOBAL SERVICES LTD WAZEE WA KAZI WAKALA WA TBS KUKAGUA MAGARI YAENDAYO TANZANIA KUTOKA UINGEREZA
PORT OF IMMINGHAM BRANCH:SERENGETI GLOBAL SERVICES LTDUNIT 1 MANBY ROADIMMINGHAMDN40 2LH
PORT OF SHEERNESS BRANCH:SERENGETI GLOBAL SERVICES LTDUNIT 1 RUSHENDEN ROADQUEENSBOROUGHSHEERNESS, KENTME1 5HL
BOOKINGS ...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)
9 years ago
Michuzi03 Sep
10 years ago
Michuzi23 Jun
11 years ago
MichuziTamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari
11 years ago
GPLWANACHUO NIT WAGOMA
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Serikali kujenga karakana NIT
SERIKALI inatarajia kujenga karakana nne katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) zitakazogharimu dola 300,000 ambazo zitakamilika mwakani. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana baada ya Kamati ya Miundombinu kutembelea...