Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nitawakomboa wakazi wa Jimbo la Masasi

Maandishi yana nguvu, lakini ya watu makini yana nguvu zaidi na uwezo wa namna yake kubadili fikra za mtu. Hayo yanadhihirishwa na msanii na mwanasiasa, Ismail Makombe maarufu Kundambanda, aliyetangaza nia ya kuwania ubunge Jimbo la Masasi.

Kwa mujibu wa Makombe, maandishi ya wanasafu wa Gazeti la Raia Mwema, yalibadili mtazamo wake kuhusu mambo mbalimbali nchini. Hayo na mengine aliyasema katika mahojiano na mwandishi wetu, MARY VICTOR, katika makala haya.

Raia Tanzania: Hivi...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

CCM yanyakua ubunge jimbo la Masasi

33Mbunge Mteule wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CCM, Bw. Rashid Chuachua.

Chama cha Mapinduzi kimeweza kutetea jimbo lake la Masasi katika uchaguzi ulifanyika jana baada ya kuahirishwa Okt. 25 mwaka huu kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha NLD, Dkt. Emamanuel Makaidi kufariki Dunia huko Nyangao mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotangazwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jimbo la Masasi, Fortunatus Kagoro amesema kuwa Bw. Rashid...

 

5 years ago

Michuzi

Gavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona

Gavana wa jimbo la Ohio nchini Marekani amesema kuwa ripoti za Idara ya Afya zinaonyesha kuwa, karibu asilimia moja ya wakazi wa jimbo hilo wameambukizwa virusi vya COVID-19 (Corona).

Mike DeWine amesema, anazo ripoti kwamba asilimia moja ya wakazi wa jimbo la Ohio wameambukizwa virusi vya Corona, suala ambalo lina maana kwamba, zaidi ya Wamarekani laki moja wa Ohio wameathiriwa na virusi hivyo.

Mike DeWine ambaye alikuwa akizungumza na televisheni ya CNN ya Marekani amesema yumkini jimbo...

 

9 years ago

Habarileo

Katibu Chadema jimbo la Masasi ahamia CCM

KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Masasi, Faraji Mangochi amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akihusika kwa nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo.

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE AWAAMBIA WANA MASASI KULIPELEKA JIMBO UPINZANI NI KULIWEKA REHANI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mtama(CCM) na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akihutubia wakazi wa Masasi kwenye mkutano wa kufunga kampeni uliofanyika Mkomaindo kata ya Mkomaindo ambapo aliwaambia wakazi wa Masasi watambue kuwa ilani inayotekelezwa ni Ilani ya CCM hivyo kuwapa jimbo wapinzani ni sawa na kuliweka rehani kwani hakuna sera ya mpinzani itakayotekelezwa kwa kipindi cha miaka 5, aliwataka wananchi hao...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

11 years ago

GPL

MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslimu na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar.  Diwani...

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBAGALA (ACT-WAZALENDO), AAHIDI MAKUBWA KATIKA JIMBO HILO


Mgombea  ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu (katikati), akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Mbagala Charambe Mianzini Dar es Salaam jana.

Na Dotto MwaibaleMGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Soud Rajabu ameahidi endapo atachaguliwa nafasi hiyo atahakikisha anapunguza gharama za  huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani