Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJEMBA AVISHWA KANGA, ATEMBEZWA MTAANI

Stori: Mayasa Mariwata na Denis Mtima
OMBA usifumaniwe! Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Salum Athuman (22), amejikuta akivishwa khanga na kutembezwa mitaani baada ya kwenda nyumbani kwa mwanaume mwenzake, Dastun Mkereti (26) kwa lengo la kujivinjari na mke wa mtu, Stela Ramadhan (20), akafumaniwa. Tukio hilo lililofunga mitaa lilijiri maeneo ya Temeke, Dar, hivi karibuni na kugeuka sinema ya bure.
Kama ilivyo ada, kikosi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MBUZI AVISHWA KANGA, APELEKEWA MBONI MASIMBA

HAMIDA HASSAN KATIKA hali ya kustaajabisha, Mtangazaji wa Kipindi cha The Mboni Show kinachoruka katika Runinga ya TBC1, Mboni Masimba alipigwa na butwaa baada ya kuzawadiwa mbuzi aliyefungwa kanga kwenye sherehe ya Maulid.Tukio hilo la aina yake lilijiri juzikati nyumbani kwa mtangazaji huyo Masaki jijini Dar ambapo Mboni alipokuwa akimfanyia sherehe hiyo mwanaye, Prince Milan aliyekuwa akitimiza siku arobaini tangu kuzaliwa...

 

10 years ago

GPL

KANGA MOKO KAMA KAWA

Stori:  Erick Evarist na Musa Mateja
MIEZI michache kufuatia tamko la serikali  kuzuia ngoma zinazokesha maarafu kama Kanga Moko kwa kukiuka maadili, imebainika kuwa ngoma hizo zinaendelea kufanya mambo kama kawa kana kwamba hazijakatazwa, Ijumaa limeshuhudia. Baadhi ya wadada wakicheza ngoma ya kibao kata wakiwa ndani ya kanga moja. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili juzikati umebaini kuwa ngoma hizo ambazo wanawake...

 

10 years ago

GPL

MPAMBE WA MGOMBEA URAIS AVISHWA SHANGA

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally
JAMAA anayedaiwa kwamba ni mpambe mkubwa wa mmoja wa wagombea urais mwakani ambaye ni fundi wa kufunga madishi, mkazi wa Magomeni-Makanya jijini Dar es Salaam, almaarufu Mgosingwa, amejikuta akivishwa shanga baada ya kunaswa na mke wa mtu chumbani kwake. Mgosingwa akivishwa shanga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu. FUMANIZI
Tukio hilo la aina yake la kufungia mwaka 2014 lilijiri kwenye...

 

9 years ago

Mtanzania

Huddah Monroe avishwa pete ya uchumba

Huddah-Monroe-Image-from-izvipiNairobi, Kenya

MREMBO kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe, ameanza kuionesha pete ya uchumba aliyovishwa wiki iliyopita.

Mwanamitindo huyo mwenye umaarufu mkubwa nchini humo, ameamua kuvunja ukimya wake na kuionesha pete hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram.

“Kila kitu kipo wazi, lakini muda ukifika watu watamjua nani aliyenivisha pete hii, lakini kwa sasa watu wanatakiwa wajue nina pete ya uchumba.

“Kwa sasa naweza kusema sihitaji usumbufu kutoka kwa mwanamume yeyote, huu ni muda wangu wa...

 

11 years ago

GPL

MAI AVISHWA PETE YA UCHUMBA, NDOA UPYA

Stori: Hamida Hassan
MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Mtangazaji ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’ Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha...

 

10 years ago

GPL

SALMA DAKOTA AVISHWA PETE, APOTEZA FAHAMU

Na hamida hassan
Mtangazaji wa ITV na redio, Salma Dakota hivi karibuni alipoteza fahamu baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ ya kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, Gharibu Dumba. Salma Dakota Akionyeshwa pete aliyovishwa. Tukio hilo lilitokea kwenye Hoteli ya Protea iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo alikwenda bila kujua kuwa mtu wake huyo alikuwa na jambo kubwa la kumfanyia. Ilielezwa kuwa, Salma akiwa hana hili...

 

11 years ago

GPL

MAMA AFUNGUKA KANGA MOKO KUPIGWA RISASI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MAMA mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku hiyo ya tukio. Grace Loy (20), mkazi wa Mwananyamala Mchangani, aliyepigwa risasi katika paja la...

 

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda

Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed  “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili  usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.

Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU AVISHWA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Washiriki 30 wa kinyanganyiro cha kumsaka Miss Tanzania wakijitambulisha kwa shoo. Warembo wakipita na vazi la ufukweni. Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (kushoto), akiwa na katibu wa kamati hiyo, Bosco Majaliwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani