Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njia bora ya kukabili saratani ni kuibaini, kuitibu mapema

Saratani ni moja ya magonjwa yanayoisumbua sana fani ya tiba kutokana na kuwa na mikanganyiko mingi katika kuitibu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Solomon Mugera: Hizi ndizo njia bora za kukabili habari feki mtandaoni

Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.

 

9 years ago

Vijimambo

UGUNDUZI WA MAPEMA WA SARATANI YA MATITI UTAOKOA MAISHA YAKO

Suneeta Reddy, mkurugenzi wa hospitali za Apollo
Na Mwandishi Wetu,
Saratani inasemwa kuwa chanzo kikubwa cha pili kinachosababisha vifo ulimwenguni. Saratani ya matiti peke yake inaripotiwa kuwa ya pili kama sababu kubwa ya vifo vinavyohusisha saratani kwa wanawake nchini Tanzania. Kuchelewa kupata ugunduzi wa haraka na tiba kwa wagonjwa wengi wa saratani ya matiti kunachangia kuleta ugumu kwenye matibabu pale ugonjwa unapoingia ngazi ya juu zaidi. Gonjwa hili limeendelea kuwa janga hasa kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake Afrika waisaidia Tanzania kukabili saratani

CHAMA cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (AWCAA) kimemkabidhi mke wa Rais, Mama Salma Kikwete mashine moja ya Mammogram, ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti, yenye thamani ya zaidi dola za Marekani 200,000 (Sh milioni 320).

 

10 years ago

Mwananchi

Wabuni njia ya kukabili magugu

Ung’oaji wa magugu vamizi aina ya Chromoleana Oradata umetajwa kuwa ndiyo njia bora zaidi ya kudhibiti kuenea kwa magugu hayo wilayani Serengeti mkoani Mara.

 

10 years ago

Mwananchi

Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao

Wagonjwa wa saratani wa mikoani wanatarajiwa kupata matibabu ya kwa njia ya mtandao baada ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kuzindua huduma ya afya ya mtandao.

 

9 years ago

GPL

WATOTO WENYE MARADHI YA SARATANI WANUFAIKA NA LISHE BORA

Meneja Mawasiliano na Matukio wa Vodacom Tanzania, Christina Chacha(wapili toka kushoto) akifurahia jambo na  mtoto Anna Rajabu anayelelewa na kupata matibabu  ya Saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Wakati wafanyakazi wa Vodacom Tanzania walipowatembelea na  kuzindua mradi wa lishe bora kwa watoto hao wenye kusumbuliwa na maradhi hayo. Ambapo Taasisi ya Vodacom Foundation...

 

11 years ago

BBCSwahili

Je, njia bora ya unyoaji ndevu ni ipi ?

Je njia bora ya kunyoa ndevu ni ipi ? Kuanzia juu kuelekea kidevu ama kidevu kwenda juu ?

 

11 years ago

Mwananchi

FALSAFA MBADALA: Waelimike mapema badala ya kuzaa mapema

Mimba kwa wasichana wadogo ni miongoni mwa sababu zinazowakatisha masomo wasichana wengi hapa Tanzania.

 

10 years ago

GPL

NJIA BORA YA KUISHI NA MARAFIKI WA MWENZI WAKO-2

Uhali gani msomaji wangu wa kona hii murua, ni matumaini yangu uko sawa. Kwa wewe ambaye afya yako inaleta mushkeli, nakuombea upone haraka na kurejea kwenye majukumu yako ya kila siku.
Ni siku nyingine nzuri tunapokutana kujadiliana kile tulichokuwa tumeanza kukijadili wiki iliyopita. Mada iliyopo mezani ni njia bora za kuishi na marafiki wa mwenzi wako. Kwa lugha nyepesi namaanisha kama wewe ni mwanaume, unawezaje kuishi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani