Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake Afrika waisaidia Tanzania kukabili saratani

CHAMA cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (AWCAA) kimemkabidhi mke wa Rais, Mama Salma Kikwete mashine moja ya Mammogram, ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti, yenye thamani ya zaidi dola za Marekani 200,000 (Sh milioni 320).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Njia bora ya kukabili saratani ni kuibaini, kuitibu mapema

Saratani ni moja ya magonjwa yanayoisumbua sana fani ya tiba kutokana na kuwa na mikanganyiko mingi katika kuitibu.

 

5 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA AZINDUA MTANDAO WA WANAWAKE AFRIKA TAWI LA TANZANIA

Charles James, Michuzi TV

TANZANIA imepiga hatua kubwa katika kutoa nafasi kwa wanawake kwenye nafasi za uongozi kulinganisha na nchi nyingine wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan wakati akizindua mtandao wa wanawake viongozi kwa bara la Afrika tawi la Tanzania (AWLN).

Amesema licha ya Nchi za kiafrika kutoa nafasi ndogo kwa wanawake kwenye ngazi za kimaamuzi lakini serikali nchini imepiga hatua...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE WA AFRIKA JULAI 31 KILA MWAKA






Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na mmoja wa Muasisi wa PAWO Bibi.Tecla Sumbo mara baada ya kufungua mkutano wa waasisi wa Umoja wa Jumuiya za Wanawake katika nchi huru za Afika (PAWO) tawi la Tanzania na Wizara uliolenga kutoa maoni yao katika uboreshaji wa Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia uliofanyika leo jijini Dar Es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati mkutano na waasisi...

 

5 years ago

Michuzi

MAMA SAMIA KUZINDUA MTANDAO WA WANAWAKE VIONGOZI WA AFRIKA TAWI LA TANZANIA


Charles James, Michuzi TV

MTANDAO wa Viongozi Wanawake wa Afrika (AWLN) kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Wanawake UN Women kesho wanatarajia kuzindua tawi lao nchini ambapo mgeni rasmi atakua Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.

Uzinduzi huo utafanyika jijini Dodoma ambapo utahusisha viongozi 60 wanawake pamoja na wageni walioalikwa wakiwemo watendaji kutoka serikalini, Umoja wa Mataifa, Wajumbe wa kibalozi na Umoja wa Afrika.

Akizungumza leo na wandishi...

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake 200 wachunguzwa saratani

WANAWAKE zaidi ya 200 jana walijitokeza katika kambi ya bure ya uchunguzi wa saratani ya matiti katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi pamoja na kupata ushauri kuhusu saratani ya matiti.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake zaidi ya 1,000 kuchunguzwa saratani

ZAIDI ya kinamama 1,000 wa Mkoa wa Dodoma wanatarajia kufanyiwa uchunguzi wa satarani ya matiti. Kazi hiyo itafanyika kwa muda wa siku tano katika viwanja vya Nyerere Square mjini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Wanawake 100 salama na saratani ya kizazi

ZAIDI ya wanawake 100 waliojitokeza kupima maambukizi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi katika Jukwaa la Familia Kitchen Party Gala, lililofanyika Dar es Salaam juzi, wamethibitika kutokuwa na ugonjwa huo.

 

10 years ago

Habarileo

Wanawake 1,000 wapima saratani ya matiti

WANAWAKE zaidi ya 1,000, wamejitokeza kupimwa saratani ya matiti bure katika miezi minne ya kampeni inayoendeshwa na Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Aga Khan yachunguza saratani wanawake

Hospitali ya Aga Khan Mwanza imeanza kuwafanyia uchunguzi wa saratani mbalimbali wanawake, huku ikitoa wito kuwataka wajitokeze zaidi ili kujua afya zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani