Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NJIA INAYOWEZA KUPUNGUZA MAUMIVU WAKATI WA KUJIFUNGUA

NIMEWAHI kusoma habari za mkunga Kim Hildebrand Cardoso kutoka Berkeley, California nchini Marekani kuhusiana na uchungu waupatao wanawake wakati wa kujifungua na vifo vitokanavyo na uzazi. Ingawa sina cheti cha utabibu niliamua kujikita katika uchunguzi ili nijue kwanini akina mama wengi hasa Tanzania hupata matatizo wakati wa kujifungua? Nilichogundua ni kwamba karibu kila msichana mwenye umri wa kuweza kubeba ujauzito...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NJIA YA KUPUNGUZA MAUMIVU WAKATI WA KUJIFUNGUA-2

MTAALAMU Joanne Lally kutoka Chuo Kikuu cha Afya ya Jamii cha Newcastle na timu yake waliweza kubainisha mambo mengi ya msingi kuhusu uzazi salama, lakini kubwa kabisa ni faida za kumfariji mzazi mtarajiwa kabla ya wakati wa kujifungua. Kasoro kubwa ya wakunga na walezi wengi wanaohudumia wajawazito ni kuwavunja moyo na kutowajali, jambo ambalo huchangia matatizo wakati wa uzazi. Nakumbuka nilimuuliza dada Husna (si jina lake...

 

11 years ago

Mwananchi

Zingatia haya wakati wa kujifungua

Tangu mimba inatungwa na kipindi chote cha ujauzito ni wakati muhimu mno kwa mjamzito, lakini wakati muhimu zaidi ni wakati wa kujifungua.

 

10 years ago

Vijimambo

UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU

Janeth Mlahagwa akiwa na mama yake.
Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/UwaziJaneth Mlahagwa (18) ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi “Albino”, mkazi wa Kijiji cha Mtumbatu, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ambaye anadai kwamba kifo kilimsonga kutokana na hali yake kuwa mbaya kila kukicha kwa kukosa matibabu na badala yake alikua akipewa vidonge vya kupunguza maumivu.Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni katika hospitali binafsi ya upasuaji wa mifupa na viungo cha Burere, wilayani Kibaha...

 

10 years ago

GPL

“UMASKINI WETU UMENIFANYA NIISHI KWA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU”

Makongoro Oging’ na Issa Mnally, Kibaha/Uwazi
Janeth Mlahagwa (18) ni mtoto mwenye ulemavu wa ngozi “Albino”, mkazi wa Kijiji cha Mtumbatu, Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro ambaye anadai kwamba kifo kilimsonga kutokana na hali yake kuwa mbaya kila kukicha kwa kukosa matibabu na badala yake alikua akipewa vidonge vya kupunguza  maumivu. Janeth Mlahagwa akiwa na mama yake. Akizungumza na gazeti hili hivi...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA (DYSPAREU)

TAFITI za kitabibu zinaonyesha kuwa mwanamke asikiapo maumivu haya anatakiwa kuchukua hatua za haraka bila kuchelewa kabla afya yake ya uzazi haijazorota na kumletea ugumba. Maumivu wakati wa kushiriki tendo yanaashiria hatari katika afya ya uzazi iwapo yanakuwa na dalili zifuatazo: i. Iwapo anaumia tangu mwanzo wa tendo mpaka mwisho.
ii. Iwapo anaumia muda mchache au hata saa kadhaa baada ya tendo kukamilika.
iii. Iwapo...

 

9 years ago

GPL

MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI NA BAADA YA TENDO LA NDOA

WAPO ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata furaha, wao wanasikia maumivu, wanaume ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili. Mwanamke anaweza kukosa kuhisi furaha na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni, ukeni au kwa ndani zaidi. Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo la ndoa ambapo ndiyo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wakati Wengine Wanakula Ujana Flora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Pili Hivi Karibuni!

Mwigizaji wa filamu  Flora Mvungi, ambae ni mke wa mwanamziki  H.Baba anatarajia kujifungua mtoto wa pili hivi karibuni ikiwa ni moja ya mafanikio ya ndoa  yao kwa mwaka jana.

H baba amabe ndio mumeo  amethibitisha kuwa mke wake Flora Mvungi ni mjamzito na hivyo wanatarajia kupata mtoto wa pili.

Akizungumza na 255 ya XXL jana, H. Baba amesema miongoni mwa mafanikio aliyopata mwaka jana ni pamoja na kumpa ujauzito mwingine mke wake.

“Faida ya mwaka jana ni mwana mama Flora Mvungi kujaa...

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI?-2

KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida albicans ) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo....

 

11 years ago

GPL

MAUMIVU WAKATI WA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NI KIASHIRIA CHA NINI? - 3

KUVIMBA kwa kuta za uke kutokana na kushambuliwa na fangasi (candida Albicans) au bakteria. Kuta hizi huanza kuwa na vijitundu vidogo vidogo na kadiri muda unavyokwenda bila kutibiwa, vitundu hivi huongezeka ukubwa na kuwa kama vidonda na hatimaye kuta za uke kuanza kumomonyoka na hali hii huondoa kabisa hamu ya kushiriki tendo. Matatizo ya shingo ya kizazi (cervical incompetence) kutokana na maambukizi ya fangasi maeneo hayo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani