Njiapanda : Kizazi cha Kompyuta na viongozi ngumbaru kiteknohama...
KILA mtu anazungumzia au kama hazungumzii yumkini ameshasikia watu au vyombo vya habari vikizungumzia juu ya kompyuta, teknohama au tehama au simuakili, ipod, amazon kindle, na mambo kama hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilali kushoto akisalimiana na Balozi mdogo wa China aliyeko Zanzibar Mr.Xie Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd… ...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akikata Utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akipata maelezo kuhusiana na Compyuta kwa Balozi mdogo wa china alieko Zanzibar Mr.Xie Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki...
10 years ago
Vijimambo11 years ago
Mwananchi21 Jun
Casillas: Kizazi cha dhahabu kwisha
Iker Casillas amekiri kwamba kizazi cha dhahabu cha Hispania kimekwisha baada ya kuwa timu ya kwanza ya mabingwa watetezi kuondolewa kutokana na michezo miwili  pekee ya hatua ya makundi.
10 years ago
GPLUVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-3
Kama tulivyokuwa tukipeana elimu ya afya zetu wiki zilizopita, huu pia ni mwendelezo wa mada ya vimbe katika kizazi cha mwanamke ambapo leo nitaelezea athari zake. Mara nyingi mwanamke anagundulika na tatizo la Fibroid kama ataenda hospitali kwa lengo la kutafuta ujauzito, niwakumbushe wasomaji kuwa kama unaona una maumivu ya tumbo chini ya kitovu kwa muda mrefu, maumivu wakati wa tendo la ndoa, kuvurugika kwa...
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Ebola yahatarisha kizazi cha vijana
Rais Sirleaf wa LIberia asema kizazi cha vijana Afrika kiko hatarini kwa sababu ya Ebola, iwapo dunia haikufanya jitihada kubwa
10 years ago
BBCSwahili04 Oct
Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa
Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji.
10 years ago
GPLUVIMBE KATIKA KIZAZI CHA MWANAMKE-2
Aina za uvimbe wa Fibroid
Fibroid zinatofautishwa kutokana na sehemu ilipotokea. Zipo zinazotokea ndani ya mji wa mimba na nyingine zinatokea kwenye kuta za nje ya mji wa mimba. Msomaji tambua kuwa karibu asilimia 75 ya wanawake wenye Fibroid hawajui kama wana tatizo hilo. Si rahisi mtu kuona dalili na kutambua mara moja kuwa ana tatizo la Fibroids. Utambuzi wa dalili za Fibroid hutegemea ukubwa wake na mahali zilipo kwenye...
9 years ago
Raia Mwema14 Oct
Tunahitaji kizazi kipya cha wanasiasa
TUNAPOELEKEA ukingoni mwa harakati za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, tuendelee kuitupia macho Tume y
Kitila Mkumbo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania