Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NKAMIA:SIGOMBEI URAIS 2015

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Kusini ,akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha katika studio za redio 5 zenye makao yake makuu njiro ambapo alisema kuwa hana mpango wowote wakugombea nafasi ya Urais 2015 Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa wanafanya mahojiano na… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIGOMBEI URAIS 2015 NKAMIA

GEDSC DIGITAL CAMERANaibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ambaye pia ni   Mbunge wa Kondoa Kusini ,akiongea na waandishi wa habari leo  jijini Arusha katika studio za redio 5 zenye makao yake makuu njiro ambapo alisema kuwa hana mpango wowote wakugombea nafasi ya Urais 2015GEDSC DIGITAL CAMERABaadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa wanafanya mahojiano na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia leo jijini Arusha katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015



Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Sina njaa, sigombei tena’

Wakati wanachama wa Simba wakipitisha mapendekezo ya marekebisho ya katiba yao, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo jana asubuhi kwenye ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay.

 

11 years ago

Habarileo

Mgimwa: Sigombei kutafuta utajiri

MGOMBEA ubunge wa uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa, amesema hajaingia katika kinyang’anyiro hicho kwa lengo la kujitafutia utajiri. “Wapo baadhi ya wanasiasa wanatafuta nafasi hii kwa lengo la kutafuta fedha na sio kuwatumikia wananchi; naomba mniamini mimi sijaingia kwa lengo hilo,” alisema.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Sigombei tena, mimi sina njaa’

Bosi Mkuu wa Simba anayemaliza muda wake, ametangaza kutogombea tena nafasi uenyekiti katika uchaguzi ujao wa klabu hiyo kongwe yenye umri wa babu mwenye wajukuu wasiohesabika na vitukuu kibao. Uchaguzi utafanyika Mei mwaka huu

 

9 years ago

Mwananchi

Kigoda: Sigombei ubunge kumrithi baba yangu

Mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni kupitia CCM, Omari Kigoda amesema hagombei nafasi hiyo kutaka kuziba pengo lililoachwa na b

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba : Sigombei ubunge Temeke wala Tabora

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema hana mpango wa kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Hashim Rungwe: Sigombei kwenda Ikulu kupiga ‘dili’

Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe amesema ameamua kugombea urais ili kutengeneza ajira kwa Watanzania wanaohitimu elimu katika ngazi mbalimbali na hakimbilii Ikulu kujinufaisha binafsi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani