Mgimwa: Sigombei kutafuta utajiri
MGOMBEA ubunge wa uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa, amesema hajaingia katika kinyang’anyiro hicho kwa lengo la kujitafutia utajiri. “Wapo baadhi ya wanasiasa wanatafuta nafasi hii kwa lengo la kutafuta fedha na sio kuwatumikia wananchi; naomba mniamini mimi sijaingia kwa lengo hilo,” alisema.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Safari ya kutisha ya kutafuta utajiri — 2
Laiton Mtafya alisimulia namna alivyojiingiza kwenye kundi la majambazi akiwa na lengo la kupata utajiri. Hata hivyo, harakati zake hizo zilimsababisha anusurike kifo baada ya kupigwa na kumwagiwa maji ya betri machoni huku mwenzao mmoja akipasuliwa jicho na wananchi wenye hasira.
10 years ago
Michuzi17 Sep
SIGOMBEI URAIS 2015 NKAMIA
![GEDSC DIGITAL CAMERA](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/-I5qVgdEmMRVqjRo7STym-oLHQcGX7XVYstMHH5loO96Ff9fHi5fXy8l6F2KKjmomFnSl-ZqMCsVTUGmCmwjGCaKOOcdn52xqfPP1ylrhfh7TMlns9dl06I=s0-d-e1-ft#http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/09/gedc10501.jpg?w=660)
![GEDSC DIGITAL CAMERA](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/rVMVWBNMrWzA1bW_U3zK94HcbJWEFEtXK9-m3U7hupN9S7Uf0MyfH1wS2LLNGCB6vw5vUb8MyU0azTAqjaM24700pderS9VDpxcBAxe7GofKinKpJcwSWrA=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/09/gedc1041.jpg?w=660)
11 years ago
Mwananchi17 Mar
‘Sina njaa, sigombei tena’
Wakati wanachama wa Simba wakipitisha mapendekezo ya marekebisho ya katiba yao, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo jana asubuhi kwenye ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DtcI2O2Ry7D9*W2NIVZRuWP*o90Ja44YbVnfVUdfWYHGereETYHxKa3YkDOFFlzEvk1vtouCB3qSYOK3tvZ-vcYJ0fVget0l/501.jpg?width=650)
NKAMIA:SIGOMBEI URAIS 2015
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Kusini ,akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha katika studio za redio 5 zenye makao yake makuu njiro ambapo alisema kuwa hana mpango wowote wakugombea nafasi ya Urais 2015 Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa wanafanya mahojiano na… ...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
‘Sigombei tena, mimi sina njaa’
Bosi Mkuu wa Simba anayemaliza muda wake, ametangaza kutogombea tena nafasi uenyekiti katika uchaguzi ujao wa klabu hiyo kongwe yenye umri wa babu mwenye wajukuu wasiohesabika na vitukuu kibao. Uchaguzi utafanyika Mei mwaka huu
10 years ago
GPLMBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Lukwambe hadi sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...
9 years ago
Mwananchi09 Dec
Kigoda: Sigombei ubunge kumrithi baba yangu
Mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni kupitia CCM, Omari Kigoda amesema hagombei nafasi hiyo kutaka kuziba pengo lililoachwa na b
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Hashim Rungwe: Sigombei kwenda Ikulu kupiga ‘dili’
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe amesema ameamua kugombea urais ili kutengeneza ajira kwa Watanzania wanaohitimu elimu katika ngazi mbalimbali na hakimbilii Ikulu kujinufaisha binafsi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania