Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nkurunziza awafuta kazi mawaziri 3

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Baraza la mawaziri lasema litaongoza Burundi hadi rais atakapoapishwa

Baraza la Mawaziri nchini Burundi limesema kuwa linaongoza nchi hadi rais mpya atakapoapishwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?

Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mawaziri sasa chapeni kazi

HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete juzi alikata mzizi wa fitina kwa kufanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri. Katika Baraza hilo ambalo liliapishwa jana, zimo sura mpya kumi, huku watano wakitupiwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewasimamisha kazi kwa mda mawaziri wake wanne pamoja na maafisa wengine 12

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri waliofutwa kazi watoa ya moyoni

Rais Jakaya KikweteBAADA ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri watatu na mmoja kujiuzulu, kutokana na kashfa zilizotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili, viongozi hao wamezungumza yaliyowasibu kila mmoja kwa staili yake.

 

11 years ago

Habarileo

Si kazi ya Kamati Kuu kufukuza mawaziri-JK

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshikilia nembo ya chama hicho jana baada ya kuwasili Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya kuhutubia kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM. (Picha na Ikulu).HATUA ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwahoji mawaziri wake, imefafanuliwa kwamba haikumaanisha kuwafukuza kazi.

 

10 years ago

StarTV

Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.

Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.

Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.

BBC

 

9 years ago

Mwananchi

Kiapo cha jasho, mawaziri wapania kazi

Hafla ya kuapishwa kwa mawaziri iliyofanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam ilikuwa kavu isiyo na shangwe zilizozoeleka huku mawaziri wakionekana wazi kuwa wamepania kufanyia kazi kiapo chao.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Mawaziri wangu watafanya kazi usiku na mchana

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Na Bakari Kimwanga, Tunduma

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema akifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, atakuwa na baraza dogo la mawaziri litakalofanya kazi usiku na mchana.

Akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni mkoani Rukwa juzi, Dk. Mgufuli alisema mawaziri wake watahudumia wananchi kwa wakati na si kukaa ofisini na kusubiri kuletewa taarifa.

“Nitateua mawaziri wachache na wenye uadilifu, kama kuna waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani