Mawaziri sasa chapeni kazi
HATIMAYE Rais Jakaya Kikwete juzi alikata mzizi wa fitina kwa kufanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri. Katika Baraza hilo ambalo liliapishwa jana, zimo sura mpya kumi, huku watano wakitupiwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-q176xwNTn-s/Xnr-MJ1RjhI/AAAAAAAC8yk/fCKBQJBcAjUjJraHRmntFe4MNvOy5cdeACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
WATUMISHI WIZARA YA KILIMO CHAPENI KAZI KWA WELEDI-KM KUSAYA
Menejimenti ya Wizara ya Kilimo imetakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia weledi katika kutekeleza maagizo ya Rais kuhakikisha nchi inaendelea kuwa na uhakika wa chakula.
Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya wakati wa hafla ya makabidhiano rasmi ya ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu Mhandisi Mathew Mtigumwe yaliyofanyika makao makuu ya wizara Mtumba mkoani Dodoma na kuhudhuriwa na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo vya wizara.
Kusaya alisema wizara ya kilimo ina...
10 years ago
Vijimambo29 May
Mawaziri wa sasa,wa Nyerere ,mbingu na nchi
![](http://jamboleo.co.tz/wp-content/uploads/2015/05/Julius-Nyerere-640x853.jpg)
Peter AmbilikileBARAZA la Mawaziri la sasa ambalo lina asilimia 95 ya wasomi na wenye umri zaidi ya miaka 50, limekuwa likikumbwa mara kwa mara na kashfa za ufisadi na kukosa uwajibikaji, ukilinganisha na baraza la Mwalimu Julius Nyerere na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Amani Abeid Karume.Uchambuzi uliofanywa na gazeti hili unaonesha kwamba kati ya mawaziri 31 kamili, ni mawaziri sita tu ndiyo wenye umri wa miaka chini ya 50.Mawaziri hao ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (40), Waziri wa...
10 years ago
BBCSwahili28 Mar
Mawaziri 4 wasimamishwa kazi Kenya
10 years ago
BBCSwahili18 May
Nkurunziza awafuta kazi mawaziri 3
11 years ago
Habarileo03 Feb
Si kazi ya Kamati Kuu kufukuza mawaziri-JK
HATUA ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwahoji mawaziri wake, imefafanuliwa kwamba haikumaanisha kuwafukuza kazi.
11 years ago
Habarileo27 Dec
Mawaziri waliofutwa kazi watoa ya moyoni
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa mawaziri watatu na mmoja kujiuzulu, kutokana na kashfa zilizotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili, viongozi hao wamezungumza yaliyowasibu kila mmoja kwa staili yake.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Mawaziri 16 wa fedha walioifikisha Tanzania ilipo sasa tangu uhuru
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Kiapo cha jasho, mawaziri wapania kazi
10 years ago
StarTV19 May
Rais wa Burundi awatimua kazi mawaziri watatu.
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.
Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.
BBC