Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAUNGANISHA WAFANYABIASHARA WAKUBWA MKOANI MBEYA

Katika mwendelezo wa kuwa karibu na wateja wake benki ya NMB imezindua mtandao utakaowaunganisha wateja wake wakubwa ‘Executive Network’ kwa jiji la mbeya ikiwa na lengo la kuwafanya kufurahia zaidi huduma za kibenki kutoka NMB.  Uzinduzi huo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya na kuwakutanisha wafanyabiashara zaidi ya 100 kutoka vitongoji mbali mbali ikiwemo Kyela, Mbozi,Tunduma, Mwanjelwa, Mbalizi Road na Usongwe waliopata fursa ya kuwa kwenye mtandao wa wafanya bishara wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara wakubwa msiwe wachuuzi - TIC

Wafanyabiashara wakubwa mkoani hapa wametakiwa kutofanya biashara za uchuuzi badala yake wawekeze kwa kujenga vitega uchumi mbalimbali, kama vyuo, shule na viwanda ili kulinda utajiri wao.

 

10 years ago

Vijimambo

Siri ya Muhongo yafichuka, Wafanyabiashara, wawekezaji wakubwa wahusishwa

*Yaelezwa wivu, majungu,fitina chanzo kingine*Wabaya wa Muhongo sasa wajipanga kufanya shereheSaid Mwishehe
SIKU moja tu baada ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo kuamua kuachia ngazi katika wizara hiyo siri kubwa imefichuka ya sababu hasa ambayo imemfanya aondoke ukiachilia mbali sakata la Escrow.

Imebainika kuwa wizara hiyo ni ngumu kwa waziri kukaa muda mrefu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa wafanyabiashara na wawawekezaji wakubwa na wadogo wamekuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

ESAURP yaandaa mafunzo kwa wafanyabiashara ndogo ndogo mkoani Mbeya

DSC_0554

 

Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika (ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.(Picha Emanuel Madafa Mbeya wa JAMIIMOJABLOG).

DSC_0606

Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watu Bilioni mbili, Duniani wamekula wadudu..wapo wafanyabiashara wakubwa-Ripoti ya UN

'Entopreneurs' feed growing appetite for edible insects Meal worms try to escape from a straining bowl in a kitchen before being cooked Wednesday, Feb. 18, 2015, in San Francisco. A growing number of “entopreneurs” are trying to persuade consumers that insects are the next super food, a nutritious, low-cost, environmentally friendly source of protein that can help feed a hungry world. But they face a tough job convincing Westerners that crickets, meal worms and caterpillars can be tasty treats. (AP Photo/Ben Margot) ‘Entopreneurs’ feed...

 

9 years ago

Vijimambo

TAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI (ESAURP)YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO MKOANI MBEYA


Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika ( ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika mafunzo hayo ya siku tano yaliyolenga kuwapatia...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYA KWA KUSHILIKIANA NA BENKI YA NMB YAMWAGA MADAWATI 84 SHULE ZA MSINGI ITIJI NA IVUMWE JINI MBEYA.

   Katibu wa Mbunge viti maalum, Tumaini Mwakatika akizungumza jambo katika hafla ya utolewaji wa madawati 84 kwa shule za msingi Ivumwe na Itiji jijini mbeya kwa niaba ya mbunge wa viti maalum mkoa wa mbeya,Dkt. Mary Mwanjelwa kwa kushirikiana na Benki ya NMB.
Baadhi ya viongozi wa Benki ya NMB, walimu pamoja na Katibu wa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya, na wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Ivumwe Jijini Mbeya, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kukabidhi ...

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOANI MBEYA AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa Mabasi ya Abiria yanayofanya safari kwenda mikoa mbalimbali kabla ya kuanza safari kwa lengo la kuangalia usalama wa vyombo hivyo vya usafiri pamoja na kujiridhisha na usimamizi na utekelezaji wa maelekezo yake kwa wakaguzi wa magari waliopo Stendi Kuu.
Katika ukaguzi huo alikuta Mabasi matatu ya abiria yenye namba za...

 

10 years ago

Michuzi

MBEYA YETU BLOG WAANZA KUTEMBELEA NA KUTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII MKOANI MBEYA , WAKIANZIA NA KIJUNGU

Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu , Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla  wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.
Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda kujionea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbeya yetu Blog waanza kutembelea na kutangaza vivutio vya kitalii mkoani Mbeya, wakianzia na Kijungu

Baada ya kuona kuwa kuna maeneo mbalimbali ya vivutio vya kitalii muhimu na ambavyo vimesahaulika kwa njia moja au nyengine na pengine hakuna pa kuvitangaza ili watanzania na Dunia kwa ujumla wapate kuvifahamu kwa ukaribu ,  Tone Multimedia Group kupitia mtandao wake wa Mbeya yetu Blog wameamua kuanza rasmi kuvitembelea na kutangaza kwa Jamii kwa ujumla  wapate kuvifahamu ili nao waje kuvitembelea.

Safari hiyo ambayo moja kwa moja ilianzia Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe-Tukuyu kwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani