Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB yawazadia shule zilizofanya vizuri

 Wanafunzi na walimu wa shule tatu Wilaya ya Kondoa, Dodoma wamepewa zawadi kutokana na ufaulu mzuri wa wanafunzi katika mtihani wa Taifa wa 2013.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Filamu 10 za Tanzania zilizofanya vizuri sokoni mwaka 2014

Bongo5 ikishirikiana wauzaji na wasambazaji wa filamu, wapenzi wa filamu hizo na wadau wengine kwenye kiwanda hicho nchini inakuletea orodha ya filamu 10 zilizofanya vizuri sokoni mwaka 2014. Bongo5 iliweza kushirikiana na wauzaji wa mitaani ‘Library’, wauzaji wa jumla wa maduka ya Kariakoo, pamoja na wasambazi wakuu wa filamu hapa nchini ambao ni Steps Entertainment, […]

 

9 years ago

Michuzi

Navy Kenzo katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..

Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa...

 

11 years ago

Michuzi

WAKUU WA SHULE ZA SERIKALI ZILIZOFANYA VIBAYA KATIKA MATOKEO YA FORM SIX WAPEWA MWEZI MMOJA KUJIELEZA

Wakuu wa shule za serikali zilizofanya vibaya kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu  pamoja na Maofisa elimu wa Mikoa wamepewa muda wa mwezi mmoja ili kubaini chanzo cha  shule zao kuwa na ufaulu hafifu. Baada ya kubaini chanzo hicho cha ufaulu hafifu wanatakiwa kutoa taarifa kwa katibu mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa-TAMISEMI. Miongoni mwa shule ambazo wakuu wake wametakiwa kujieleza ni pamoja na shule ya Tambaza iliyopo jijini Dar es salaam na shule ya Iyunga ya...

 

5 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 15 KWA SHULE TATU ZA SEKONDARI JIJINI DAR

BENKI ya NMB, imekabidhi msaada wa viti, meza na madawati vyote vikiwa na thamani ya Sh. Milioni 15 kwa ajili ya Shule za Sekondari Kibamba na Kinzudi na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini, zilizoko wilayani Ubungo jijini Dar es Salaam.
Hafla ya kukabidhi msaada huo ilifanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Kibamba, ambako Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd alimkabidhi msaada huo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori (aliyekuwa mgeni rasmi).
Alisema Kibamba Sekondari yenye...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali kuwazawadia wanafunzi na shule za msingi na sekondari zinazofanya vizuri

ShukuruKawambwa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa.

Na Mwandishi Wetu

Katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya Elimu, Serikali itawazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema katika mitihani ya Elimu ya msingi na Sekondari.

Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam Jumatatu April 14, 2014 na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa alipozungumzia na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Wiki ya Elimu.

Kwa mujibu wa Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE YA MSINGI KISEKE

Mmoja wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiseke - Elias Sita anaye soma darasa la Nne, akifurahi pamoja na Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Bw. Waziri Barnabas baada ya shughuli ya makabidhiano ya madawati shuleni hapo. Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya msingi Green Hill ya jijini Dar yafanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba

Na:George Binagi-GB Pazzo

Shule ya Msingi Green Hill iliyopo Ilala Mkoani Dar es salaam imekuwa miongoni mwa shule bora zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu kote nchini.

Katika Matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini NECTA Dk.Charles Msonde, ufaulu wa Kitaifa mwaka huu umepanda kwa asilimia 10.85 kutoka asilimia 56.99 za mwaka jana, ambapo wanafunzi waliofaulu ni 518,034 kati ya 775,273 waliosahiliwa...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MADAWATI KWA SHULE ZA MSINGI MWANZA NA MUSOMA

 Wanafunzi  wa Shule ya Msingi Kiseke Wilaya  ya Ilemela Mkoani Mwanza,  wakiwa wameketi kwenye madawati  64 yenye thamani  ya shilingi milioni 5 waliyokabidhiwa na Benki ya NMB kama sehemu ya msaada kwa shule hiyo.Bw. Daniel Makorere, Afisa Elimu Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza  akimshukuru Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB Bw. Waziri Barnabas(kushoto) baada ya kupokea madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa Shule ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani