WAKUU WA SHULE ZA SERIKALI ZILIZOFANYA VIBAYA KATIKA MATOKEO YA FORM SIX WAPEWA MWEZI MMOJA KUJIELEZA
Wakuu wa shule za serikali zilizofanya vibaya kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha sita mwaka huu pamoja na Maofisa elimu wa Mikoa wamepewa muda wa mwezi mmoja ili kubaini chanzo cha shule zao kuwa na ufaulu hafifu. Baada ya kubaini chanzo hicho cha ufaulu hafifu wanatakiwa kutoa taarifa kwa katibu mkuu Tawala za mikoa na serikali za mitaa-TAMISEMI. Miongoni mwa shule ambazo wakuu wake wametakiwa kujieleza ni pamoja na shule ya Tambaza iliyopo jijini Dar es salaam na shule ya Iyunga ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo16 Apr
WAZIRI KIVULI WA ELIMU APINGA SERIKALI KUWATAKA WALIMU KUJIELEZA KWA WAKUU WA MIKOA
Na MwandishiWetu
WAZIRI kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lymo, amepinga kitendo cha serikali cha kuwataka walimu waliofunga shule kutokana na uhaba wa chakula waende wakajieleze kwa Mkuu wa Mkoa kutokana na hatua hiyo.
Suzan, alitoa kauli hiyo baada ya serikali kudai...
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Shule nchini Uganda kuendelea kufungwa kwa mwezi mmoja zaidi
11 years ago
Mwananchi05 Jun
NMB yawazadia shule zilizofanya vizuri
10 years ago
Mwananchi14 Feb
Matokeo kidato cha IV: Shule za Serikali, Seminari, vipaji maalumu zaporomoka
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Washiriki 10 wa shindano la TMT wafanikiwa kuingia fainali, mshindi mmoja kuondoka na milioni 50 katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 30 mwezi huu
Majaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakifuatilia Filamu fupi iliyochezwa na baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie talents (TMT) wakati ilipokua ikionyeshwa kwenye runinga kubwa katika Ukumbi wa Makumbusho. Kutoka Kulia ni Single Mtambalike au Rich Rich katikati ni Vyonne Cherry au Monalisa na Kushoto ni Jaji Mkuu wa Shindano hilo Roy Sarungi.
Mahosti wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwajibika katika Jukwaa la Ukumbi wa Makumbusho ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s72-c/unnamed+(2).jpg)
WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU WA KITUO CHA CHILD IN THE SUN WAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE NA TCAA
![](http://4.bp.blogspot.com/-P2koqi_JPGs/U9EFd3efmvI/AAAAAAAF5v0/2qnVkLbaf_8/s1600/unnamed+(2).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-s0fgi4QraIQ/U9EFeMZ8jGI/AAAAAAAF5v8/aZVMceZnFh4/s1600/unnamed+(3).jpg)
10 years ago
Vijimambo06 Nov
Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/56/COA_Tanganyika_1.jpg/118px-COA_Tanganyika_1.jpg)
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu...
10 years ago
Zitto Kabwe, MB27 Nov
TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA
TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA
View this document on Scribd![](https://pixel.wp.com/b.gif?host=zittokabwe.wordpress.com&blog=12675215&post=3424&subd=zittokabwe&ref=&feed=1)
10 years ago
GPLWAKUU WA SHULE WALIOZIFUNGA SHULE ZAO KIMAKOSA, KUKIONA CHA MOTO