Norway: Tanzania isiige mpango wa gesi kutoka nchi nyingine duniani
Ushirikiano baina ya Tanzania na Norway umedumu kwa zaidi ya miaka 50 na kwa muda mrefu, ulikuwa umeegemea kwa Tanzania kupewa mikopo na taifa hilo la ukanda wa Scandinavia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
‘Mahabusu’ Nyingine Kutoka Jerusalem Films,Wakali Kutoka Norway Ndani
Staa mkonhwe wa bongo movies, Jacob Stephen ambaye ni mkurugenzi wa kampuni yake inayojihusisha na utengenezaji wa filamu, Jerusalem Films Company amedokeza kuwa filamu inayokwenda kwa jina la MAHABUSU ndiyo kazi mpya inayofuata kuingia sokoni.
JB aliyasema hayo kupitia ukursa wake mtandaoni ambapo aliweka picha hiyo hapo juu ya kasha la filamu hiyo na kuandika.
Kutoka Jerusalem films hii ndio inakuja.inaitwa MAHABUSU. Washiriki....unaikumbuka Regina unamkumbuka yule dada aliyecheza kama...
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Ugunduzi wa gesi: Tanzania tunajifunza nini kwa Norway
9 years ago
Habarileo08 Dec
Tanzania, nyingine 17 kuchuana usafi duniani
TANZANIA imejumuishwa kwenye nchi 18 zinazoshindanishwa kwa miji yake jinsi ilivyoshiriki katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kupunguza hewa ukaa, ambapo Bara la Afrika limewakilishwa na nchi tatu.
9 years ago
Bongo505 Jan
Website maarufu ya Marekani Buzzfeed yaitaja Tanzania nchi ya 8 katika nchi 20 zinazovutia duniani
![enhanced-7309-1430834722-9](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/enhanced-7309-1430834722-9-300x194.jpg)
Website maarufu ya Marekani, Buzzfeed imeitaja Tanzania kuwa ni nchi ya nane katika orodha yake ya nchi 20 zinazovutia zaidi duniani.
Afrika Kusini imekata nafasi ya kwanza kwenye orodha hiyo.
Kuhusu Tanzania website hiyo imeandika:
Land of the Serengeti, Lake Victoria, Lake Natron and Lake Manyara, the Ngorongoro Crater, Zanzibar, the Spice Islands, Dar Es Salaam and a million more, Tanzania is almost beyond belief.
Mount Kilimanjaro rises over 3 miles above the surrounding plains, making...
11 years ago
Zitto Kabwe, MB06 Jul
Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka — #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu
Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka
- Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu
Zitto Kabwe, Mb
Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta na Gesi Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf). Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9-1mTnEFXdE/Xmy7zSis8sI/AAAAAAALjVw/NEW8M8K6aXI6guUthH2Z7HglaniJ4Lf3gCLcBGAsYHQ/s72-c/f7732e43-a835-48a7-ba3a-299ee5f97f08.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 May