Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF, Msama wapiga ‘tafu’ mkutano wa Taswa

Kampuni ya CXC, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na waandaaji wa Tamasha la Pasaka wamejitosa kupiga tafu Mkutano Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) utakaofanyika kesho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MSAMA AWAPIGA TAFU YATIMA DAR

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (lushoto), akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula Katibu Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Maunga Center cha Kinondoni jijini Dar es Salaam, Rashid Mpinda.  Msaada huo wenye thamani ya sh. milioni 7 unatokana na mapato yaliyopatikana katika  tamasha la Pasaka na Krismasi. (Picha na Francis Dande)  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions Ltd, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

Benki ya Posta yaipiga tafu Taswa SC

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto)akikabidhi mfano w hundi kwa mwenyekiti wa Taswa SC, Majuto Omary (wa kwanza kulia)ikiwa sehemu ya benki hiyo kusaidia michezo nchini. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa wa benki hiyo, Chichi Hilda Banda. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Moses Manyata (wa kwanza kushoto)akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na hatua ya benki hiyo kuisaidia timu ya...

 

11 years ago

Michuzi

Rangers Bureau de change yaipiga tafu Taswa FC

Mkurugenzi wa Rangers Bureau De Change na Rangers Tours and Travel Agent, Daudi Madega (kushoto) akikabidhi jezi kwa mwenyekiti wa Taswa FC, Majuto Omary katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo, Magomeni. Nahodha wa timu ya soka ya wandishi wa habari za michezo nchini, Mbozi Katala akizungumza mara baada ya makabidhiano hayo.
Duka la kubadilishia fedha za kigeni la Rangers Bureau De Change lililopo Magomeni Mapipa, limetoa msaada wa jezi kwa timu ya soka ya Waandishi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Times, Help2Kids wapiga tafu shule

RADIO Times FM kwa kushirikiana na mashirika ya Help2Kids, mwishoni mwa wiki ilitoa misaada mbalimbali katika Shule ya Msingi Wamato iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam kupitia programu yake ya...

 

9 years ago

Habarileo

Taswa FC hoi kwa NSSF

TIMU ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, Taswa FC imeshindwa kutamba mbele ya wenzao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kulala kwa mabao 2-1 katika mchezo maalumu wa kuadhimisha miaka 16 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 

11 years ago

Michuzi

TASWA KUSHIRIKI MKUTANO WA 77 WA AIPS JIJINI BAKU,AZERBAIJAN

CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kinatarajia kushiriki kwenye Mkutano Mkuu wa 77 wa Chama cha Kimataifa cha Waandishi wa Habari za Michezo (AIPS) unaotarajiwa kuanza kesho (Jumapili) jijini Baku, Azerbaijan hadi Mei mosi mwaka huu.
Mkutano huo wa kawaida wa mwaka utashirikisha viongozi wa  vyama vya waandishi wa habari za michezo zaidi ya 150 duniani ambao ni wanachama wa AIPS na pia kutafanyika mikutano ya mabara ya vyama vya waandishi wa habari za michezo, ambao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda afungua mkutano wa tano wa wadau wa NSSF

IMGL7668

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa  NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Juni 2, 2015. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Felix Tibenda, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF ,Dr. Ramadhani Dau na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Abubakari Rajab. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).

IMGL7676

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tano wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, NSSF wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo PInda wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani