Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taswa FC hoi kwa NSSF

TIMU ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo nchini, Taswa FC imeshindwa kutamba mbele ya wenzao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kulala kwa mabao 2-1 katika mchezo maalumu wa kuadhimisha miaka 16 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

TASWA Dar hoi Tamasha la Waandishi Arusha

Kikosi cha timu ya mchezo wa mpira wa pete ya Taswa Dar mara baada ya mechi kuisha.

Siku moja kabla ya bonanza waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha walipata fursa ya kutembelea kiwanda cha bia ya TBL Arusha hapa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo akiwa anawapa maelekezo ya jinsi kiwanda hicho kinavyoweza kufanya kazi  ya kutengeneza bia kwa kutumia mashine na kompyuta.

Woinde Shizza (wa pili kushoto) nikiwa na waandishi wa habari wakongwe mara baada tu ya kuwasili ndani ya kiwanda...

 

9 years ago

Michuzi

TASWA DAR HOI TAMASHA LA WAANDISHI JIJINI ARUSHA

 kikosi cha timu ya mchezo wa mpira wa pete ya Taswa Dar mara baada ya mechi kuisha. waandishi wahabari wa mkoa wa Arusha wakifurahia wakati tamasha likiendelea.
 Na Woinde shizza,ArushaTIMU  ya soka ya chuo cha uandishi wa habari   Arusha(AJTC) juzi walitwaa ubingwa katika bonanza la 10 vyombo vya habari mkoani Arusha huku Timu ya wanahabahari wa Dar es Salaam TASWA FC wakishindwa kutamba.

Katika Bonanza hilo, ambalo lilishirikisha jumla ya timu nane, TASWA FC) alishindwa kutamba na kushika...

 

11 years ago

Mwananchi

NSSF, Msama wapiga ‘tafu’ mkutano wa Taswa

Kampuni ya CXC, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na waandaaji wa Tamasha la Pasaka wamejitosa kupiga tafu Mkutano Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa) utakaofanyika kesho.

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi

12237221_1669908713222926_427056748_n

Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA

Mchezaji wa Taswa Fc, Julius Kihampa (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo wa Bonanza la 10 la Taswa Arusha dhidi ya timu ya IMS Maji ya Chai, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Mchezaji wa Taswa Queens, Oliver Arbogasti, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Chuo cha waandishi wa Habari cha AJTC wakati wa mchezo wao. Katika mchezo huo Taswa Queens, ilishinda mabao 37 - 3 Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Posta yazing’arisha Taswa FC, Taswa Queens

Benki ya Posta Tanzania (TPB) imeendelea kuisadia timu ya Waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) baada ya kuikabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya kutumika katika mashindani na michezo mbali mbali ya kirafiki.
Benki hiyo imekabidhi seti za jezi kwa timu hizo zikiwa na jumla ya thamani ya Sh1,180,000 kwa timu ya mpira wa miguu maarufu kwa jina la Taswa FC na timu ya netiboli ambayo pia inajulikana kwa jina la Taswa Queens.
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Meneja mahusiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani