Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ntagazwa agaragazwa na Mzanzibar Uchaguzi Chadema

ndagazwa

 

Arcardo Ntagazwa.

Na Mwandishi wetu

KWA mara ya kwanza historia imeandikwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumchagua mzanzibar Hashimu Juma Issa kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza kutoka Zanzibar.

Hashimu alishinda katika mzunguko wa pili kwa kura 47 na kumzidi mpinzani wake Arcardo Ntagazwa aliyepata kura 22  kati ya kura 71 zilizopigwa na wajumbe, kura  mbili kuharibika.

Akizungumza na waandishi wa habari leo katika Makao Makuu ya Chadema, Issa alisema kwa kushirikiana na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Waziri wa Kikwete agaragazwa uenyekiti wa mtaa

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, ameangushwa na Kimwei Mhita (27) katika kinyang’anyiro cha kura za maoni za kumtafuta Mwenyekiti wa Mtaa wa Masaki atakayewakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Waziri huyo ambaye alikuwa anatetea kiti hicho ambacho ameshikilia kwa muda mrefu, amejikuta akiangushwa mwishoni mwa wiki na mwanasiasa huyo kijana ambaye hana umaarufu mkubwa katika medani ya siasa za chama hicho akilinganishwa na...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

DK. SHEIN ALIZINDUA TAMASHA LA 20 LA UTAMUDINI WA MZANZIBAR

Vazi lenye asili ya watu wa Kitumbatu walilokuwa wakilitumia wakati wakielekea mashambani huku mwana Mama anatembea akisuka ukili kuashiria ufundi wa utamaduni wa asili. Muimbaji mahiri wa Visiwa vya Comoro al anisa Shamsia Sagaf akitumbuiza kwenye uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni wa Mzanzibari hao Bwawani Mjini Zanzibar.
Kikundi cha akina mama watupu wakitumbuiza ngoma ya asili ya Lelemama kwenye uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni wa Mzanzibari Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA MZANZIBAR SALAMA BWAWANI ZANZIBAR

Mkufunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bibi Mafunda Nassor Juma akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi jinsi ya wanachuo hao wanavyojifunza upishi wa vyakula vya asili vya Zanzibar kwenye maonyesho ya uzinduzi wa Tamasha la 20 la Utamaduni wa Mzanzibari hapo Bwawani Mjini Zanzibar.Vazi lenye asili ya watu wa Kitumbatu walilokuwa wakilitumia wakati wakielekea mashambani huku mwana Mama anatembea akisuka ukili kuashiria ufundi wa utamaduni wa...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA TAMASHA LA 20 LA UTAMADUNI WA MZANZIBAR LAFANYIKA JANA

Mshereheshaji katika Kongamano la Tamasha la 20 la Utamaduni wa Mzanzibar Otman Mohd (Makombora ), akitoa maelezo mafupi ya kongamano litakavyokuwa katika Ukumbi wa Suza mjini Zanzibar. Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Tamasha la 20 la Utamaduni wa Mzanzibar wakisikiliza kwa makini mada inayowasilishwa katika Ukumbi wa Suza mjini Zanzibar. Katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar Bimwanahija Ali Juma ambae ni mgeni rasmi akitoa hotuba ya ufunguzi wa Tamasha la 20 la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyukano uchaguzi CHADEMA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa orodha ya wanachama wake waliojitosa kugombea nafasi mbalimbali za taifa katika mabaraza huku mnyukano mkali ukiwa nafasi za mwenyekiti, makamu mwenyekiti, katibu mkuu,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi CHADEMA wapongezwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepongezwa kutokana na kuonyesha ukomavu wa kisiasa katika chaguzi zake huku ikiikataa rushwa kwa vitendo bila kuhofu kupoteza wanachama. Akizungumza na Tanzania Daima jana,...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema wavutana uchaguzi wa Meya

MVUTANO umezuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupinga uongozi wa juu wa chama hicho kuahirisha uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Arusha uliotakiwa kufanyika Ijumaa iliyopita.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uchaguzi CHADEMA mfano wa kuigwa

HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepata safu mpya ya viongozi watakaokivusha kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Uchaguzi huo ulikuwa unatazamwa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kama kipimo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani