Nyalandu: Tutawalipa askari kabla ya operesheni ya pili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema askari 2,000 waliounda kikosi maalumu cha Operesheni Tokomeza Ujangili watalipwa fedha zao kabla ya kuanza kwa awamu ya pili ya operesheni hiyo....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 Jan
Operesheni Tokomeza ya pili kuanza karibuni
WAKATI hatua zaidi zikisubiriwa kuchukuliwa kwa watendaji waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa Operesheni Tokomeza, Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kutangaza kuanza kwa awamu ya pili ya Operesheni hiyo wakati wowote kuanzia sasa.
10 years ago
VijimamboNYALANDU AWAPA SOMO ASKARI WANYAMAPORI
10 years ago
Habarileo02 May
Nyalandu atimua askari wastaafu wa Marekani
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amekipiga marufuku kikundi cha wanajeshi wastaafu wa Marekani (Vetpaw) ambacho kinadai kupambana na majangili nchini.
10 years ago
MichuziWAZIRI NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Nyalandu atangaza kwa mara ya pili kuwania urais
9 years ago
MichuziJNIA YAONGEZA UKAGUZI MIZIGO YA POSTA, SASA KUKAGULIWA MARA YA PILI KABLA YA KUPAKIZWA KWENYE NDEGE
Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, Bw.Injinia Thomas Haule, (katikati), akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa uwanja huo leo Ijumaa Novemba 27, 2015. Utawala wa uwanja huo ulio chini ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, TAA, umejipanga upya katika kuimarisha ulinzi ambapo kuanzia sasa, vifurushi na mizigo yote kutoka posta itakaguliwa kwa mara ya pili kabla ya kupakiwa ndani ya ndege, ikiwa ni...
9 years ago
Bongo509 Dec
Tutawalipa wasanii kwa kucheza nyimbo zao redio na kwenye TV – Ruge
Mmoja kati ya wadau wakubwa wa muziki hapa nchini na Mkurugenzi wa Uzalishaji na vipindi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amesema ujio wa kampuni ya kusimamia hakimiliki za kazi za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) wakishirikiana na Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA), utasaidia vituo vya redio na runinga kushindwa kukwepa kulipa mirahaba inayotokana na upigwaji wa nyimbo za wasanii.
Akizungumza na CMEA hivi karibuni, Ruge alisema mfumo huo mpya utawasaidia...
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...