Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYANI AGAWA PESA INDIA

Nyani aina ya Macaque sawa na yule aliyegawa fedha kwa wananchi. NYANI mmoja katika Jimbo la Himachal Pradesh, Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa taslimu kutoka mtini. Taarifa zinasema kuwa watu waliokuwa wanajivinjari katika mji wa Shimla jimboni humo, walianza kukimbia huku na kule wakiokota pesa zilizokuwa zinarushwa na nyani huyo kutoka juu ya mti kwa karibu saa moja. Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa nyani huyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nyani awagawia watu pesa India

Nyani mmoja katika jimbo la Himachal Pradesh Kaskazini ya India, amewagawia watu pesa halisi.Katoa wapi pesa hizo?

 

10 years ago

BBCSwahili

Waomboleza kifo cha Nyani India

Wanakijiji 200 nchini India walinyoa nywele kama ishara ya kuomboleza kifo cha Nyani mmoja aliyekuwa akiishi akribu na hekalu.

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake wa Nyeri walia na Nyani

Nyani na tumbili wanaofugwa kwenye hifadhi ya wanayama, wavamia mashamba ya raia na kuwashambulia wanawake na mazao yao.

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...

 

10 years ago

Bongo5

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Je umewahi kuona nyani na simba pamoja?

Afisa mmoja wa utalii nchini Afriika Kusini alifanikiwa kupata picha isio ya kawaida ya nyani akimbeba mwana wa simba katika mbuga ya kitaifa ya wanyamapori ya Kruger Afrika Kusini

 

11 years ago

Mwananchi

Acha kumaindi, nyani hakondi msimu wa mahindi

Samtaimz mjue huwa nakaa na kukukumbuka longtaim, mabraza walivyokuwa wakinizungua na visenti vyao wakati nikiwaibukia kuwapiga mizinga ya hapana pale, hasa ile isiyokuwa na msingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani